Teknolojia ya 5g yadhaniwa kuwa na madhara

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
4,510
Reaction score
6,893
katika hali isiyokuwa ya kawaida zaidi ya ndege 500 walidondoka kutoka angani wakati mitambo ya 5g ilipokuwa ikifanyiwa majaribio huko nchini uholanzi

link hii hapa :
 
Mi zangu nasomaga comment za wqtu naishia kicheka kwa saut hadi watu wananishangaa sana
 
sijawahi kuona tofauti ya hizi G kuanzia 1,2,3,4 huwa naona sawa tuu kwani spid huwa zinaminywa na ma ISP
 
katika hali isiyokuwa ya kawaida zaidi ya ndege 500 walidondoka kutoka angani wakati mitambo ya 5g ilipokuwa ikifanyiwa majaribio huko nchini uholanzi

link hii hapa :

kumbuka hili kupata mawasiliano kuna itaji mawimbi aka wave.kwa upande kitaalamu wave imejigawa sehemu kubwa kiundani ndio leo tunaweza kupata rangi,sauti,mawasiliano,redioactive,vibration,mwanga n.k
tknolojia ya mawasiliano nyanja ya mawasiliano jinsi inavo zidi kuboreshwa kwa njia nyingi mfano:kama wagunduzi walivo gundua infared ushabiana na mawimbo ya microwave.ni mfano tu.
wave ya mawasiliano ina madaraja ambayo kiwango fulani mfumo unaweza kuwa kwenye kiwango cha redio active kwa kiasi kidogo.
mawimbi ya 5g inaweza kuwa mwingiliano mkubwa na viumbe.
sija chimba sana
 
chimba sasa bwana chizcom
 
Back
Top Bottom