Dogo Mfaume (mzee wa kazi ya dukani) anateketea kwa madawa ya kulevya

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,061
23,510
DOGO MFAUME.jpg

Wauza unga kuweni na huruma kwa watanzania wenzetu,yule Dogo Mfaume wa enzi zile za "kazi yangu ya dukani" ndo basi tena sasa hivi kashakua teja....daah vipaji vya ukweli vinazidi kupotea kwa ngada.

Mlaaniwe wote mnaouza unga kuanzia nyie wenyewe na vizazi vyenu vyote.. "kazi yangu ya dukanii aaahahh yaniweka matataniii wanao nirudisha nyuma wengi wao majiraniii"

 
Wauza unga kuweni na huruma kwa watanzania wenzetu,yule Dogo Mfaume wa enzi zile za "kazi yangu ya dukani" ndo basi tena sasa hivi kashakua teja....daah vipaji vya ukweli vinazidi kupotea kwa ngada.

Mlaaniwe wote mnaouza unga kuanzia nyie wenyewe na vizazi vyenu vyote.

..."kazi yangu ya dukanii aaahahh yaniweka matataniii wanao nirudisha nyuma wengi wao majiraniii"

IMG-20160322-WA0064.jpg


 
Wauza unga kuweni na huruma kwa watanzania wenzetu,yule dogo mfaume wa enzi zile za "kazi yangu ya dukani" ndo basi tena sasa hivi kashakua teja....daah vipaji vya ukweli vinazidi kupotea kwa ngada........mlaaniwe wote mnaouza unga kuanzia nyie wenyewe na vizazi vyenu vyote.

..."kazi yangu ya dukanii aaahahh yaniweka matataniii wanao nirudisha nyuma wengi wao majiraniii"...View attachment 331906
Maskini.
 
...baba aliniambia FUNGUA DUKA, ayaaa yaaaa yaaaaaa yaaaaaaaaah ooooooh ooooooh oooooooh.......!

Alafu uimbaji wake anabanaga pua ila inatokaga poa ya kiswazi sana. Mzee wa michiriku huyo.
 
Niko kinyume na biashara na matumizi ya ngada, lakini huwà najiuliza hawa vijana wetu hawajajua jinsi wanavyopotezwa?

Mimi kwa uhakika kabisa ninaamini watumiaji wengi huanza na bangi. Kisha bangi inakuwa inakolezwa na madawa na wanadanganywa ni cha arusha.

Sasa hapo usipokuwa mjanja utabaki unakula ukijua cha arusha mpaka unakuwa addicted

Ni hayo tu...ukiwa na akili bangi nyonga mwenyewe au acha kabisa.
 
Back
Top Bottom