Habari zenu wana JF.
Katika pita pita zangu nimegundua kuna baadhi ya vitu umuhimu wake umepotea au thamani yake imeshuka baada ya kuja kwa technology mpya ili hali vitu hivyo ni bora na vinadumu...
TRAFFIC WA MOSHI WAMECHUKUA TABIA YA KUPIGA PICHA MAGARI YA WATU MBAYA ZAIDI MAGARI HAYO YANAKUWA HAYANA PLATE NUMBER KISHA WANA EDIT SPEED,KWAHIYO WAKIONA GARI LINALO FANANA NA LILE WANASIMAMISHA...
Kati ya interview na prestigious platforms duniani ni straight talk Africa ya VOA ya Shaka Ssali.
Muone hapo chini Rais ajaye, tegemeo letu la kulikomboa taifa ambalo linadidimia kwa kasi ya...
Utafiti wa hivi majuzi umetoa matokeo ya kushangaza baada ya kubaini kuwa wengi wa watumiaji wa simu za iPhone huwa masikini, huku mabwenyenye wakisemekana kupendelea simu za Huawei.
Utafiti huo...
Wakuu, muda mfupi uliopita nimetoka kutoa pesa kwenye mashine ya atm ya nmb. Baada ya kuchukua pesa nikachukua na risiti pia. Kwenye ile risiti niliona kitu ambacho siku za nyuma sikukitilia...
Kwanza ningependa kulishukuru sana jukwaa hili kwani limekuwa msaada mkubwa sana wa kujibu maswali yangu mbalimbali yaliyokuwa yananitatiza.
Ndani ya jukwaa hili kuna watu ni wajuzi wa mambo...
Kwa kweli wa Kenya wamejitahidi sana
Hii nairobi university nilikuanga naichukulia poa,kumbe ni bonge la chuo hakuna cha ubabaishaji.Nimetembelea universty of nairobi wiki iliyopita wapo mbali...
Waswahili husema kuwa Tabia ni kama ngozi ya mwili huwezi kuibadili,sasa swali langu watu kibao(pamoja na wanaume) hujiapaka Carrolite na kuwa weupe peeeeeeee. Maswali
1) ngozi ya hawa inakuwa...
Habari wana JF,
Katika pita pita yangu huku JF nimegundua upepo wa kisiasa unataka kuhamishwa kwa mwana diplomasia B. Membe. Nimetafakari sana mambo yafuatayo:
1. Kwanini Membe? na
2. Kwanini...
Mh. Rais, pole na majukumu makubwa na mazito ya kuongoza nchi. Pia nakupogeza kwa juhudi zako za dhati za kuinua uchumi wa nchi na raia mmoja mmoja. Tatizo liko mlangoni, utamaliza muda wako...
Wana Jf tatizo la websites za taasisi zetu mie naona kama vile tatizo ila inawezekana ni mtizamo wangu tu.
Ila ukiingia website ya SIDO Tanzania ili kuona Products walizonazo huwezi kupata moja...
Siku zingine ukiwa unajijua huna Msuli wa kutosha usipende sana Kusalimia na Watu ambao wamekula na wakashiba halafu ukataka kupimana nao ubavu wa Kiafya unaweza ukaanguka bure kisha ukawapa Watu...
Wambura hakuomba kurudishwa kwenye nyazifa zake bali ameomba kufanyiwa marejeo ya mashitaka zake
Hakuna hukumu inayoonyesha Wambura amerudishwa katika nyazifa zake ila wameomba marejeo yao ya...
Nimengundua WaTz bado tuna umoja katika maslahi ya taifa letu. Hizi Kelele si za kupuuza japo ni sample ndogo hapa JF, Mwenye masikio na asikie. Tuache chuki na visasi tupendane.
Kwa watumiaji wa barabara Hii ya Morogoro wataungana na mimi juu ya adha kubwa ya viraka vinavyojitokeza barabara huku mamlaka husika wakikaa kimya.
Sifa moja ya kiraka kama kisipozibwa ...
Ni dhahiri kuwa nchi yetu inahitaji kitu kipya. Inahutaji mtu msikivu mcha Mungu na kijana.
Mwenye kujua dini na sio kuigiza.
Haye twende na January 2020
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.