Nafasi ya kazi

Nafasi ya kazi

ishenga

Senior Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
167
Reaction score
192
Wadau natafuta afisa kilimo kwa ajili ya iwekezaji kwenye kilimo cha umwagiliaji awe na uzoefu wa kulima mboga mboga mshahara mzuri na utaongezeka kulingana na utendaji wa kazi Nyumba atapewa na kampuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
weka mshahara tuuone... mkuu... na Jina la kampuni pia ni muhimu
 
Wadau natafuta afisa kilimo kwa ajili ya iwekezaji kwenye kilimo cha umwagiliaji awe na uzoefu wa kulima mboga mboga mshahara mzuri na utaongezeka kulingana na utendaji wa kazi Nyumba atapewa na kampuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Kampuni ni Mafoi Investment working station kware boma ngombe
 
Back
Top Bottom