Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini wakubwa zangu,kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ninahitaji kujua hotels au lodges nzuri kwa mkoa wa arusha kwani ninatarajia kwenda huko kwa siku kadhaa.Badget ni 30000-50000.
0 Reactions
53 Replies
17K Views
Hii michezo ya kamari kwenye TV imefika mahali inakera! Watu wanasema "shinda mamilioni ubadilishe maisha yako, halafu wanasema walio na umri chini ya miaka 18 wasicheze! Hii ina mantiki gani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Simba wawili wanapo pigana wewe swala shangilia tu, lakini haijalishi yupi atashinda bado wewe utaendelea kuwa kitoweo.. Kabla hujawa mfuasi au mshangiliaji wa mtu flani kwanza jiulize vipi...
0 Reactions
4 Replies
787 Views
Moshi. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amevunja bodi ya Benki ya Ushirika (KCBL) uamuzi uliokwenda sambamba na maazimio ya mkutano mkuu wa wanahisa uliofanyika Septemba 11, 2018...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wapendwa, pia pole kwa kupambana na hali ngumu ya maisha. usiku wa kuamkia leo mama kaota ndoto ya kuwa 'kaenda hospitali kufanyiwa uxafi wa tumbo la uzazi na kwa ushahidi wa daktari...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama swali linavyouliza hapo juu,je ni umbali gani kisheria ambao unakubalika kwa mtu anayesikia wimbo wa taifa ukipigwa anatakiwa kusimama kuonyesha utiifu? Au ni katika hali gani anatakiwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Usafi ni ujuzi wa kujifunza. Hii ni kwa sababu binadamu tunazaliwa pasi na uwezo wa kung’amua wala kuutambua uchafu. Mwangalie kichanga mdogo – anakojoa na hata kujikolea na wala hana wasiwasi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuwakataza clouds wasifanye fiesta leaders club, kwa kisingizio cha wagonjwa na ukaribu wa watu, kwa minajili ya kusumbuliwa na kelele na kuruhusu lipuli stadium kwa wasafi ni siasa za maji taka...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Imeripotiwa na vyombo vya habari kuwa katika kanuni mpya za malipo ya pensheni mwenza wa mstaafu akifariki mjane/mgane anayebakia atalipwa pensheni mpaka aoe au aolewe tena. Mkurugenzi Mkuu wa...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Hakika haya ni mapinduzi ya burudani, watu wapo nyomi na wa nnje bado wanaingia ndani, Hongera sana Diamond Platnumz japo wengi wanakuchukia sababu ya wivu lakini ipo siku watakuja kukukumbuka...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Kwanini alinitahiri bila ya ridhaa yangu.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
On Monday 28 March 2011, the Tanzanian Minister for Foreign Affairs Mr Bernard Membe, along with his delegation visited the Operation ATALANTA Headquarters (OHQ) in Northwood. Mr Membe was...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
USILAUMU SANA SERIKALI BADALA YAKE JIULIZE MWAKA HUU UMEIFANYIA NINI SERIKALI NA FAMILY[emoji128] YAKO
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakiwa wanatoa ishara ya awali kabisa kwa Watanzania hasa Chama cha Waogeleaji nchini kuwa kama siku Tanzania ikikosa ' Washiriki ' basi wanaweza wakawa ' wabadala ' wazuri tu Wavuvi ' Wahalifu '...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau habari,nina smartphone yangu ya tecno,ni mwaka sasa kila nikiizima na kuiwasha inaleta msg za muamala wa tigo pesa,tena msg tatu zinafuatana,msaada wadau,nawezaje kitatua kero,karibuni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama aliyepata kuona mahojiano ya baba mzazi wa Amber rutty na mwandishi wa habari utagundua huko kijijini songea alipotokea huyu Amber Rutty Maisha yao ni ya chini sana hata mzee wake utaona yuko...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Mzuqa Nilikutana na dogo flan brazameni. Nikadhan 100% ni mpinzani nikaanza kumshambulia Jiwe wee jama alimaindi nakunijia juu. Nimejifunza siku nyingine ntachakugua maneno ninapooengea sikudhani...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mzuqa Unajua Membe ni "elusive" sana mkimya na haonekanihonekani kama snow leopard. Ni fahari kwasasa kwa kila mtu kumpa mkono na walau kulonga na yeye mawili matatu. Jamaa Dk kaingia na gia...
15 Reactions
47 Replies
5K Views
Nadhani niende kwnye hoja moja kwa moja. Naishi kama kawaida na kupata hisia mbalimbali nitembeapo, nikiwa njian kazini, mtaani na majirani, study room na kwingineko. Sina tabia ya kutoka kwa...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Habari wakuu, natumaini hamjambo Nami pia ni mzima wa afya, Mimi ni kijana wa kiume mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2016 nimeshindwa kuendelea na elimu ya juu sababu ya kukosa pesa ya ada na sina...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom