Hivi inakuwaje wenye grocery/pub/mabar mnaruhusu watoto wa primary kujazana kwenye hivi vimashine vya kamari vya kutumbukiza mia mbili mbili ilihali mkijua wako under age? Pesa ya kula mihogo na...
Waziri wa Elimu Zanzibar, Riziki Pembe Juma amefuta mitihani yote ya kidato cha pili iliyokuwa imeanza leo Desemba 3 visiwani humo
Uamuzi huu umechukuliwa kutokana na kubainika kwa udanganyifu
Hizi tabia za kimama zimekithiri sana miaka hii, mara mnamwagiwa maji, mara sijui Tope,bila kujali wengine wana documents/Devices muhimu mifukoni. Huu si umaandazi na uMama ulio Tukuka...
Kama heading inavyojieleza.Nimepata kibarua katika H/Wilaya ya Kyerwa naomba kujua fursa na changamoto zilizopo Wilayani pale ndg zanguni.Naomba kuwasilisha kwenu kwa Maoni na mapendekezo.
Wanajamvi habari za mida poleni na uchovu na maumivu yanayotokana na changamoto za awamu ya viwanda
Ndugu zangu wanajamvi Mimi ni kijana mtanzania mwenzenu nipo chuo mwaka wa tatu sasa nasoma...
Habari wanajamvi naomba mwenye idea ya safari kwenda zimbabwe nataka kwenda kwa basi la takwa naenda kibiashara kuna mtu mmoja wa hilo basi kaniambia safar ni ya siku tatu kwa basi je,
1:kuna...
Salaam Waungwana!
Nina shida ya kiofisi na watu wa Metropolitan Insurance. Kama kuna yeyote mwenye namba ya simu ya mkononi ya mtu wa hapo Metropolitan; tafadhali naomba msaada wa hiyo namba...
Moja ya mambo muhimu na ya msingi kwenye habari ni pamoja na kumfahamu anaetoa habari/chanzo cha habari...lakini imekuwa tofauti kwenu TBC1 kwenye taarifa zenu za Habari mnatuonyesha picha tu za...
Hari sii shwari jijini mbeya, maeneo ya mwanjelwa, hii nibaada ya mkuu wa mkoa wa mbeya kuwataka wamachinga kuindoka katika maeneo wanayofanyia biashara kuyahama na kuhamia maeneo rasmi...
Ni muhimu madereva na watumiaji wengine wa barabara kuzingatia na kufuata sheria za matumizi ya Barabara.
Ni muhimu pia kwa Askari wa barabarani hususan ktk barabara kubwa yaani HIGHWAYS kutendea...
Kifupi huku kwetu mvua zimekua ni adimu tumepamda mahidi sasa yapata mwezi mmoja umeisha yapo chini ya aridhi hayajaota.. Nijuzeni huko mulipo hali ipo vipi?
Habari wanabodi..
Rais alitangaza kununua korosho zote kwa wakulima kwa bei ya 3300 na alisema takribani billion 600 zitatengwa kulipa wakulima takribani Tani laki 2 zilizovunwa. Lakini mpaka...
Ndugu zangu,ukisikia kuokoka kwa tafsiri ya kawaida ni kuacha dhambi.Mtu anapobatizwa ni kiashiria cha kufuta dhambi zake.Kwa msingi huu waumini wa madhehebu karibu yote na viongozi wao hutazamwa...
Wana JF
Naomba nichukue fursa hii kuungana pamoja na wa-Tanzania wenzangu wengi ambao si wanachama wa chama chochote cha siasa hapa nchini. Kimsingi, sababu za kutokua mwanachama wa chama cha...
Hii ndo stand ya mkoa. Jua likiwaka inajaa vumbi, mvua ikinyesha inajaa tope haiingiliki.
Stend ni ndogo sana na hutumiwa na mabasi ya mikoani pamoja daladala (Hiace) ziendazo wilayani na maeneo...
Kuna kitu huwa nashindwa kuelewa labda watalaamu was saikolojia na waganga ksma akina Mshana Jr watatusaidia.
Kwa ukiwa na mtu wako wa karibu na ukapata njozi hizi
(1) Amefariki basi ujue mgonjwa...
Wakuu salaam kwenu,
Naomba kuuliza kuna kero moja imeniaharibia kabisa siku yangu leo.
Mdogo wangu katumia gari yangu kwenda kanisani, bahati mbaya week mbili zilizopita niliwahi kamatwa kwa...
Nasikia Mbeya Mnafunga Barabara Mida hii Wafanyabiasha Wadogo ( Wamachinga) Mitaa ya Mwanjelwa Mbeya Tunaomba tujuzeni Maana wengine Tupo Mbali ila Biashara zetu zipo Huko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.