Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 777
- 749
Hongera sana kwa kutimiza miaka 19 tangu kuanzishwa kwa radio yenu.Naamini waanzili(Ruge &kusaga) wa wazo la uwepo wa kituo hiki waliona mbali,kwani kinatoa mchango mkubwa sana katika jamii,elimu,burudani na pia ajira kwa watanzania wenzetu.Mungu awajalie neema na mdumu kutoa huduma katika jamii ya watanzania.