Mwenda pole hajikwai
JF-Expert Member
- Oct 24, 2018
- 290
- 212
Kwanini alinitahiri bila ya ridhaa yangu.
Natamani kujua, wewe ni mwanamke au mwanaume? Itanisaidia kutafakari kwa usahihiKwanini alinitahiri bila ya ridhaa yangu.
Kwani inasaidia kutibu UTI mkuu...?Kwasababu ungewasumbua kukutibu UTI kila siku.
Hahahaha mana mzazi anaweza kusema alizaliwa hivyo hivyoGovi la kutolea ushahidi unalo?
Siukamshitaki kwa mamakoKwanini alinitahiri bila ya ridhaa yangu.