Akina Amber Rutty wapo wengi sana DAR

Akina Amber Rutty wapo wengi sana DAR

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
Kama aliyepata kuona mahojiano ya baba mzazi wa Amber rutty na mwandishi wa habari utagundua huko kijijini songea alipotokea huyu Amber Rutty Maisha yao ni ya chini sana hata mzee wake utaona yuko katika hali ya umaskini na mazingira kwa ujumla.Na inaonyesha huyu binti huko kijijini alikuwa mstaarabu na hakutegemewa angefikia hatua hii aliyokuwa nayo sasa.

Ila alipofika Dar hali ya ushamba na ukijijini ukatoka kuku mgenu hakosi kamba mguuni kwa siku chache tu ila akishayazoea mazingira huachiwa kamba.Baada ya miaka kadhaa kuuzoea mji huu wa gharama yakamtokea yaliyomtokea.

Je ni mabinti wangapi wanatoka vijijini na mikoani na walikuwa wastaarabu ila walipofika Dar kutafuta maisha wakabadilika ghafla na kuwa makahaba barabarani,Bar na wakaingia kwenye vishawishi vingine na ulaghai.

Kwanini watu wanashindwa kumaintain ustaarabu waliokuwa nao huko kabla..mifano ya akina Rutty ipo mingi
 
Sasa mtu ata maintain ustaarabu gani ikiwa kilicho mleta mjini ni pesa

..wacha wazitafute kwa njia yoyote ile
 
Wataalam wa mambo tunasema ile ni ajali kazini. Ile ni starehe kama zingine na hufanywa kwa hiyari. Tatizo jumba bovu limemdondokea, ila wapo wengi wanachama wa hiyo michezo.
Wewe unaipenda hio michezo?
 
Wataalam wa mambo tunasema ile ni ajali kazini. Ile ni starehe kama zingine na hufanywa kwa hiyari. Tatizo jumba bovu limemdondokea, ila wapo wengi wanachama wa hiyo michezo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3526][emoji39][emoji39]
 
Wanofanya wafanye tu .....maana ujana ni maji ya moto....fainali ni uzeeni......ila kumbukeni wakati wa uzee mtapoanza kujisaidia bila hiyari ndipo mtapojua kazi ya marinda mliyoyatoa bila akili
 
Weka na picha na video zao hao waakina AMBARUTH ndio tuamini
 
Wanofanya wafanye tu .....maana ujana ni maji ya moto....fainali ni uzeeni......ila kumbukeni wakati wa uzee mtapoanza kujisaidia bila hiyari ndipo mtapojua kazi ya marinda mliyoyatoa bila akili
Wale wazee waliovaa pampas kule hospital siamini kwamba wote walikua hovyo huko nyuma!
 
Ukweli ndio huo, watu wanafanya mno, wengine walifanya wakaacha, wengine ndio kwanza wananogewa.

Mungu akiamua kushusha moto kwa waliowahi kugeuza/zwa basi hakika hali itakuwa mbaya.
 
Wataalam wa mambo tunasema ile ni ajali kazini. Ile ni starehe kama zingine na hufanywa kwa hiyari. Tatizo jumba bovu limemdondokea, ila wapo wengi wanachama wa hiyo michezo.
kuna kitu unafahamu lkn umeongea kwa akili sana
 
Wanofanya wafanye tu .....maana ujana ni maji ya moto....fainali ni uzeeni......ila kumbukeni wakati wa uzee mtapoanza kujisaidia bila hiyari ndipo mtapojua kazi ya marinda mliyoyatoa bila akili
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Hakuna anayekubali kwamba anafanya hii michezo. Vipi wewe hujawahi kujaribu haka kamchezo?
 
Back
Top Bottom