Hivi ni kweli kuna mtumishi alishawahi kuhamisha majirani zake enzi za JK?

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Mzuqa

Nilikutana na dogo flan brazameni. Nikadhan 100% ni mpinzani nikaanza kumshambulia Jiwe wee jama alimaindi nakunijia juu. Nimejifunza siku nyingine ntachakugua maneno ninapooengea sikudhani kabisa dogo ataweza kumpenda jiwe. Ila wanaompenda Jiwe wengi wao ni saddist.

Ni hivi alinisimulia kuna mtumishi serikalini enz za mkwere alikuwa na hela ndefu balaa ukilinganisha na mshahara. Alijenga bonge la jumba la kifahari karibu na kwao. Isitoshe aliwaamisha baadhi ya majirani kwa kuwalipa hela na kuwajengea kabisa nyumba sehemu zingine hili apanue eneo lake anadai jamaa alikuwa na jeuri ya hela.

Jiwe alivyoingia tu madarakani mwanzoni 2016 vijana wamakumbusho wa kipilimba walivamia jamaa kwake na kukuta maboksi ya hela yasiyohesabika zenye noti za buk 10×2 zimelundikana kwenye chumba hadi vijana wa Tiss walishikwa na mshangao.

Ila jamaa anavyosimulia ni kwa furaha. Anadai kuna mwengine akirudi likizo alikuwa anamcheka sana wakiwa bar eti hana kitu licha ya kuwa ulaya na mkadharau ila sasa hivi hoi anaish ka shetani.

Na kasema atamuandikia Magu barua azidishe kubana na hakikishe akichoka kutawala amuandae mtu ambaye atabana zaidi yake.

Ndio jamii yetu hii ya bongo. Yani hata Magu akiharibu bora tu ilmarad wote tuwe sawA
 
ana wivu wa kike
 
#2020twendenamembe#
#kazinabata# 
 
Back
Top Bottom