Simba wawili wanapopigana wewe swala shangilia tu, ila bado utabaki kuwa kitoweo

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Nov 18, 2014
424
1,044
Simba wawili wanapo pigana wewe swala shangilia tu, lakini haijalishi yupi atashinda bado wewe utaendelea kuwa kitoweo..

Kabla hujawa mfuasi au mshangiliaji wa mtu flani kwanza jiulize vipi anawakilisha interest za tabaka lako?
Je, kweli dhamira hiyo anayo?? Kuna ushahidi wa hilo?
 
Swala Akibaki Kutazama Ugomvi Wa Simba Badala Ya Kukimbia Atageuzwa Asusa Na Kugawanwa Vipandevipande
 
Swala Akibaki Kutazama Ugomvi Wa Simba Badala Ya Kukimbia Atageuzwa Asusa Na Kugawanwa Vipandevipande
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom