Ndoto hii ina maana gani?

Ndoto hii ina maana gani?

Chimbekeha

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2018
Posts
1,193
Reaction score
2,177
Habarini wapendwa, pia pole kwa kupambana na hali ngumu ya maisha.

usiku wa kuamkia leo mama kaota ndoto ya kuwa 'kaenda hospitali kufanyiwa uxafi wa tumbo la uzazi na kwa ushahidi wa daktari inaonesha tumbo lilikuwa na marenda renda(mfano wa mafua). Cha ajabu baada ya kuamka axubuhi leo kaenda zake ktk frij alikoziweka juic zake za matunda kwa ajil ya biashara yake anakuta zle juice zna marenda renda karibia juic zote, na ukijaribu kunywa hadi ladha imepotea kutoka ktk matunda halisi...''' Wataalam wa ndoto nini maana yake , KARIBUNI SANA.
 
Simuliz ya ndoto haijitoshelez, ndoto ilimpa hofu yoyote, alishituka ndoto kumalizika?

Na hizo juice unazoziongelea ni juice za matunda gan?
 
Aina ya matunda ni maparachichi, ndoto imejitosheleza pia kikubwa ni uhusiano wa ndoto na uhalisia ulojitokeza ktk maisha halisi.
 
Sasa sikia ni hiv
Ndoto uwa niza pande 3
Kuna ndoto isiyo kua na maana yoyote
Kuna ndoto itakayo kwa Mungu
Na kuna ndoto itokayo kwa wachaw
Ndio maana nimekuuliza hapo juu, na kukwambia haijitoshelez

Sasa wew fata iman yako
Kama mna mashaka, na iman yenu inawashaur kwenda kwa mgaga nenden.

But mm nina ufahamu kidogo kwa wale wa upande wa Mungu ndoto zina kuaje.
 
Sawa mkuu, ubarikiw kwa ufafnz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom