The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,259
- 20,519
Mzuqa
Unajua Membe ni "elusive" sana mkimya na haonekanihonekani kama snow leopard. Ni fahari kwasasa kwa kila mtu kumpa mkono na walau kulonga na yeye mawili matatu.
Jamaa Dk kaingia na gia membe anataka kumpindua Jiwe nakumsihi aende ofisini kwake kumbe ni kupata tu ile fursa adimu ya kusalimiana ana kwa ana nakulonga mawili matatu na rais ajaye 2020.