Lodge au hotel nzuri ndani ya mkoa wa Arusha!

martial arts

Senior Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
191
Reaction score
100
Habarini wakubwa zangu,kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ninahitaji kujua hotels au lodges nzuri kwa mkoa wa arusha kwani ninatarajia kwenda huko kwa siku kadhaa.Badget ni 30000-50000.
 
Kwa mkoa wa Arusha... Nafikiri ungekuwa specific kwa kutaja eneo hasa unapoenda huko Arusha ingekuwa rahisi zaidi kupata msaada maana mkoa wa Arusha una wilaya kadhaa.

Kwa nyongeza tu pamoja na msaada utakaopata hapa si vibaya tukajenga mazoea ya kutumia apps kama Booking.com, TripAdvisor na HotelTonight kupata maelezo mengi ya hotel zilizopo huko unakotarajia kwenda mfano jina la hotel, picha ya hotel, mawasiliano yao, umbali kutoka katikati ya mji, bei na picha za vyumba, uwepo wa nafasi yaani chumba, mazingira ya ndani na nje ya hotel, comments za wateja wengine waliowahi kufikia hapo hotelini n.k.
 
Shukrani mkuu...natarajia kufika Arusha mjini hapo,
 
Huko mbali sana wewe kaulizie maeneo ya Florida utapata ukifika stand chukua boda/ Tax mwambie akupeleke maeneo hayo opposite na Serian Hospital utapata kwa boda ni buku moja tax 3000 hivi
Anhaa sawa mkubwa...kuna umbali sana toka maeneo ya stand kuu ya arusha?
 
Shukrani mkuu...natarajia kufika Arusha mjini hapo,
Kwa Arusha mjini jirani kabisa na stand kuu kuna Natron Palace Hotel. Kutoka stand hadi hotelini ni kuhesabu hatua tu kwa dakika 2 au tatu. Na bei zao ziko ndani ya bajeti yako. Namba za simu za Natron Palace ni 0769 646 569. Pia kuna nyingine inaitwa Rich hotel nayo ipo hapo jirani tu na stand. Mahali pengine ambapo uwa napaona ni pazuri na pametulia ni Silver Palm Hotel ila hawa bei yao iko juu kidogo ya bajeti yako. Namba za Silver Palm ni 0658 286 630 na 0767 286 630 na ipo jirani na Selian Lutheran hospital maeneo ya Makao Mapya.
 
KuleArusha, Hotel, Lodges, na Guest ziko nyingi tatizo ni uaminifu tu. Unakwenda kuchukua chumba unashangaa unaingiliwa na majambazi usiku huku wakiwa na funguo za chumba chako. Kumbe wanapewa taarifa na wahudumu wa hiyo sehemu.
 
Mjomba ya kweli haya? Aisee arusha noma. Au ni kwenye guest za kajamba nane tu?
 
Sehemu yeyote iliyojawa na wachagga kufanya biashara si salama. Just kuwa muangalifu sana na usiwe mtu wa kujionyesha ukiwa pale, jamaa hawaaminiki hata kidogo.
 
Back
Top Bottom