Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wadau,kama kawaida ya joto la Dar,nikaona nijipoze na maji ya baridi maana kiu ilinibana.nikaletewa maji ya moto maana ya baridi hayakuwepo nikona sio shida.Sasa ile naweka mdomoni naona...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Nyumba za kupanga zina Raha yake muda mwingine
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Exactly, maana kuna mijitu inatamani tupauke,tuchanganyikiwe tukose hata hela ya deodorant tunuke majasho ya vikwapa ili tu qualify kuitwa wanyonge,akili idumae ibaki kusaka hela ya dagaa na...
16 Reactions
36 Replies
5K Views
Amani na upendo kwa wote. Nipo naishi kwenye nyumba nzima,natumia upande wa mmoja wa nyumba nalala na kijana mwezangu. Ni wiki yote sikuwa mtu wa kwenda mbali na hapa ninapoishi. Siku...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) Ofisi Ndogo ya Makao Makuu, Lumumba, 03 Desemba 2018 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuujulisha umma wa wana CCM na watanzania kuhusu matokeo ya uchaguzi mdogo wa...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
FAHAMU KUHUSU PRINCIPLES OF NATURAL JUSTICE Hapo zamani Mfalme alikuwa juu ya kila kitu katika nchi na alichokifanya kilihesabika kuwa ni sahihi, neno la mfalme lilikuwa sheria hakuna wa kupinga...
2 Reactions
5 Replies
7K Views
Nini hatima ya Korosho msimu ujao.. Ni swali dogo lakini majibu yake ni magumu. Hofu imetawala kwa wafanyabiashara na wakulima na wadau wengine kuhusu hatima zao za malipo na kilimo cha msimu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hongera sana Azam TV kwa kusikiliza kero za watamaji wenu. Kidogo mmeanza kurudisha imani yetu kwenu. Hii ni kutokana na kutuwekea hii channel mpya ya kwese Free Sports (KFS) channel namba 155...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Mwinyi Zahera amekuwa na tremendous perfomance.Yanga imekuwa undisputed. Hebu wimbo huu wa "Fimbu" Felix wazekwa umueende Papa Zahera na simba sc popote walipo
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), George Mkuchika amewaonya viongozi, wakiwamo wakuu wa Wilaya na Mikoa akiwataka kutumia madaraka yao vizuri, kuacha kuwaweka watu...
3 Reactions
32 Replies
6K Views
Naikumbuka Sana kampuni ya kajima kutoka Japan
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Naona watu mabarabarani kila asubuhi na jioni wanakimbia kila sku ila vitambi viko pale pale, magym yanajaa watu kila siku wengi wao wako over weight despite juhudi wanayowekeza ila bado vitambi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
IKIWA MWENYE HAKI AKIOKOKA KWA SHIDA, MWENYE DHAMBI ATAONEKANA WAPI? Siku ile unapofanyika kuwa mtoto wa Mungu, yaani siku ile unayotubu kwa kuamua kabisa kuyasalimisha maisha yako kwa Bwana...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu,mimi ni mwanafunzi niliyemaliza chuo st Augustine mwanza campass 2017 baada ya kumaliza chuo nilibaini kwamba cheti changu cha chuo kimekosewa majina. Nikafanya taratibu zote kufaikisha...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Ndugu zangu mwenzenu mwez august nilikopa kwa kijana mwenzangu tsh 200,000 ili nifanyie biashara kwa ahadi ya kumrejeshea baada week chache lakini kwa bahat mbaya mambo yameniendea vibaya sana...
9 Reactions
117 Replies
10K Views
Naomba kuwasilisha dukuduku langu la mda mrefu ambalo imekua kasumba katika halmashauri zetu na hili linamkwamisha sana mheshimiwa rais katika jitihada zake za kutunyoosha. Manispaa ya Temeke...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Duniani mtu haitakiwi ujiulize utafia wapi. ila cha msingi inabidi ujiulize siku ukifa utakumbukwaje. Leo ktk pita pita zangu nimekutana na hiyo picha na nimependa jinsi alivyo kumbukwa na...
3 Reactions
42 Replies
6K Views
Salam wanajamvi; Natumai kuna waliotazama mechi za weekend hii iliyoisha jana. Je, kuna walioelewa maana ya rangi zilizowekwa kwenye vitambaa vya nahodha(Captains), kamba za viatu na mipira...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Meya wa Jiji la Dar es salaam, Isaya Mwita jana Jumamosi Desemba Mosi, 2018 alikamatwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ambapo kwa mujibu wa ripoti anaendelea kushikiliwa hadi...
5 Reactions
23 Replies
6K Views
Back
Top Bottom