Sheikh23
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,202
- 2,002
Wadau habari,nina smartphone yangu ya tecno,ni mwaka sasa kila nikiizima na kuiwasha inaleta msg za muamala wa tigo pesa,tena msg tatu zinafuatana,msaada wadau,nawezaje kitatua kero,karibuni wataalam na watundu wa kuchezea smartphone,natanguliza shukrani kwenu...