Hongera Azam TV kwa kurekebisha mambo kadhaa ila bado

Towned

JF-Expert Member
Aug 7, 2018
226
300
Hongera sana Azam TV kwa kusikiliza kero za watamaji wenu. Kidogo mmeanza kurudisha imani yetu kwenu. Hii ni kutokana na kutuwekea hii channel mpya ya kwese Free Sports (KFS) channel namba 155 maana hapa nao live EPL game ya Man City vs Bournemouth.

Lakini kumbukeni wapenzi wenu bado wana maombi kadhaa
1. Kurudisha Taarifa ya Habari Azam Two
2. Kurudisha Fox Sports 1 na 2 kwenye kifurushi cha Sh. 18,000
3. Kuweka channels mbadala baada ya kuondoa channels za ndani

Pia kwa anayejua hivi hii channel ya Kwese tofauti na game za EPL inarusha game zipi nyingine?

Asante
 
Hiyo KFS inarusha EPL mara moja na ni mechi moja tu kwa wiki, na mechi mbili za basketball kwa wiki.
 
Nba,tennis, Boxing,rugby,football, na michezo mingine mingi
Hongera sana Azam TV kwa kusikiliza kero za watamaji wenu. At least mmeanza kurudisha imani yetu kwenu. Hii ni kutokana na kutuwekea hii channel mpya ya kwese Free Sports (KFS) channel namba 155 maana hapa nao live EPL game ya Man City vs Bournemouth.

Lakini kumbukeni wapenzi wenu bado wana maombi kadhaa
1. Kurudisha Taarifa ya Habari Azam Two
2. Kurudisha Fox Sports 1 na 2 kwenye kifurushi cha Sh. 18,000
3. Kuweka channels mbadala baada ya kuondoa channels za ndani

Pia kwa anayejua hivi hii channel ya Kwese tofauti na game za EPL inarusha game zipi nyingine?

Asante
 
njie hajajua sio kwamba warlmerudisha kwa kupenda , EATV wamewalazimisha ,kwa maana kwa sasa kwese TV inaonekana bure kupitia EATV.
 
Habari Azam Two kamwe haitorudi..FTA itakua ni Uhai Tv kama mbadala wa Azam two, rejea uzi wangu niliopost jukwaani kuhusu 'usivhokijua kuhusu Azam Tv'
 
Ili niwakubali warudishe local channel zetu, itv, star tv, chnl 10,clouds,wasaf,tv e eatv, tbc ndo tutarudi huko
 
Back
Top Bottom