Ushoga Chini ya Zuria....!!!!!

palangana

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
507
448
Salam wanajamvi;
Natumai kuna waliotazama mechi za weekend hii iliyoisha jana. Je, kuna walioelewa maana ya rangi zilizowekwa kwenye vitambaa vya nahodha(Captains), kamba za viatu na mipira iliyotumika?
Nimesoma mahali kuwa ni rangi za bendera ya LGBT, ila kampeni ya weekend ilikuwa "Games for everyone". Nakumbuka kuna mchezaji alitamka hadharani kuwa kuigiza "porn" kunamlipa kuliko mpira wa miguu, ALIFUNGIWA. Sasa sijui na hili limekaa vipi au viongozi EPL hawakulielewa?
 

Attachments

  • 2018-12-03 08.16.14.jpg
    2018-12-03 08.16.14.jpg
    76.8 KB · Views: 54
  • 2018-12-03 08.15.28.jpg
    2018-12-03 08.15.28.jpg
    92.6 KB · Views: 54
  • Screenshot_2018-12-03-08-16-28.png
    Screenshot_2018-12-03-08-16-28.png
    74.9 KB · Views: 54
Wakibadilisha rangi hizo wakaweka kijan na njano, wengi tutahania upinzani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom