Mafuta gani hayo ?
Naikumbuka Sana kampuni ya kajima kutoka Japan
MV Kishtobe ulikuwa meli ya kupakia magari ya Japan, Car Carrier. Aina hii ya meli huwa ina mlango mkubwa nyuma ambako magari yanaingia na kutokea. Hii ndio ilisababisha ifananishwe na msambwanda ndio maana wanawake walikuwa wanaitwa Kishtobe.Kishtobe nipake mafuta
MV Kishtobe ulikuwa meli ya kupakia magari ya Japan, Car Carrier. Aina hii ya meli huwa ina mlango mkubwa nyuma ambako magari yanaingia na kutokea. Hii ndio ilisababisha ifananishwe na msambwanda ndio maana wanawake walikuwa wanaitwa Kishtobe.
Mkuu kweli wewe Daaslam kitambo sana. Hio ndio Kishtobe kitu ya Mjapan.MV Kishtobe ulikuwa meli ya kupakia magari ya Japan, Car Carrier. Aina hii ya meli huwa ina mlango mkubwa nyuma ambako magari yanaingia na kutokea. Hii ndio ilisababisha ifananishwe na msambwanda ndio maana wanawake walikuwa wanaitwa Kishtobe.