Habari wana jamvi.
Nataka kwenda pemba na marafiki zangu likizo ya x mass mwaka huu.. Naulizia wajuvi wa mambo kama kuna meli ambayo inatoka dar kwenda pemba au jinsi ya kufika pemba nafikaje...
Madereva wa daladala Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro wamesitisha kutoa huduma ya usafiri leo wakidai hawataki kuona bajaji katika maeneo yao.
Daladala zenye mgogoro na bajaji sio zote bali...
Cameron Underwood anasema hakumbani sana na watu wanaomkodolea macho wale kumuuliza maswali tangu amabandikiziwe uso.
"Niko na pua na mdomo kwa hivyo ninaweza kutabasamu, kuongea na kula chakula...
Mamlaka za China zipo mbioni kudhibiti ongezeko la harusi za kifahari amabazo zimekuwa zikishamiri katika miaka ya karibuni.
Kwamujibu wa maafisa wa serikali, harusi za kisasa si tu ni za gharama...
Yaani n kama atutakiwi kutembea hayamagari amalah
mh LUGOLA EMBU TUSAIDIE HASA MKOA WA DAR ES SALAAM HAKUNA UHURU KABISA
ANZA NA TEGETA NJOO MPAKA MWENGE..HUKI KATI N HATRE
FIKA MASSANA KWENDA...
Mahakama Kuu kanda ya Mbeya imemuhukumu kwenda jela kifungo cha miaka 10 Askari wa Jeshi la Polisi G.4079 PC Juma Nestory (28) baada ya kupatikana na hatia ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa ofisa...
Wamiliki na madeleva wa daladala mkoani Njombe wametii amri ya SUMATRA na kurejea barabarani kuendelea kutoa huduma mara baada ya kuwa na mgomo huku wakisitisha huduma zao kwa siku sita wakihitaji...
Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa, Mbunge wa vunjo James mbatia, Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na Bernard Membe kwenye msiba wa mama mzazi wa Askofu Gwajima
"na lihimidiwe jina la MUNGU mile na milele kwakuwa HEKIMA na UWZO ni wake, Yeye hubadili Majira na nyakati, Huuzulu Wafalme na kuwamilikisha Wafalme, huwapa hekima wenye hekima, huwapa wenye...
Ninapo fikiria uchumi wa viwanda nagundua kuwa VETA ndio ina tukwa misha yani hawajui majukumu yao
VETA mnatakiwa mtengeneze mashine tofauti ili wajasilia mali waje kununua wazalishe bizaa
Kwa...
Hivi sisi watumishi wa umma tupo kwenye daraja gani?
Hata haki zetu hatujui tuko kundi gani?
Anayetuthamini hatumuungi anayetusaliti hatuwezi sisi wa nini?
Acha 25% ifanye kazi tu.
Hatuna maana...
Zitto amekuja na shairi lake Dec 3, 2018;
Bata bata bataani.
Twenzetu Shambani,
Pia kule Viwandani,
Kisha Twenzetu bataani,
Tule raha na pamba za katani.
Bata bata bataani,
Baada ya Jasho...
ABOUT THE BOOK
Why do high schools and colleges require students to take courses in English, math and science, yet have absolutely no requirements for students to learn about personal money...
Baada ya kutumia gari niliyo nayo sasa kwa muda mrefu bila usumbufu wowote,
Nimeonelea ninunue gari nyingine kwa kuagiza kutoka Japan,kila nipitapo barabarani naona watanzania wengi wanaendesha...
[emoji471] Ballon d'Or Top 10 Confirmed [emoji471]
Luka Modric ameibuka kidedea mbele ya wababe 9 ambao ni
1. Cristiano Ronaldo 🥈
2. Antoine Griezmann 🥉
3. Kylian Mbappe
4. Lionel Messi
5...
Men with deep-rooted homosexual tendencies should not be admitted to the Catholic clergy, and it would be better for priests who are actively gay to leave rather than lead a double life, Pope...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.