Ushauri: Kwa walioshindwa kupungua uzito

Ushauri: Kwa walioshindwa kupungua uzito

Andie

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
712
Reaction score
1,643
Naona watu mabarabarani kila asubuhi na jioni wanakimbia kila sku ila vitambi viko pale pale, magym yanajaa watu kila siku wengi wao wako over weight despite juhudi wanayowekeza ila bado vitambi oyeee vinaendelea kudumu kama kijani na njano.

Naona bidha za gharama mpaka 500k kama green tea, sliming pills, weight droper etc ila vitambi viko pale pale, kuna devices mpaka za umeme watu wananunua kwa gharama kubwa kama slim belts, juck vibrators etc ila vitambi vipo pale pale. Ok leo nimekuja na ushauri mwepesi ila unafanya kazi kweli kweli. Mda mpaka kupata matokeo ni week mbili tu !!

ok without wasting time lets dive into it, ladies and gentlemen ni furaha yangu kuitambulisha kwenu mbinu maridhawa, haina gharama yoyote na pia matokeo yake kupungua uzito na kitambi ni mda mfupi sana week mbili tu, people are you ready !!..

ok mbinu hii naipa jina la "pungua uzito bila shuruti" nisipoteze muda moja kwa moja naifafanua mbinu hii mbadala na kiboko ya vitambia ok ukiwa na kitambi na umejaribu kila mbinu na haupungui fanya yafuatayo, ukimuona askari FFU mrefu mwembamba kavaa miwani nyeusi usipoteze muda mfuate bila kusema chochote mzabue bonge la kofi mpaka mate yamruke kule mimani kule basi hapo umemaliza kazi baada ya week mbili utakua model ila tu utakua na mabaki ya makovu. Kwahyo utakua model mwenye makovu usijali kuhusu makovu yatapona tu.
 
Nimecheka kwa nguvu saaaanaaa
 
Back
Top Bottom