Lovehate
Member
- Apr 26, 2018
- 52
- 75
Amani na upendo kwa wote.
Nipo naishi kwenye nyumba nzima,natumia upande wa mmoja wa nyumba nalala na kijana mwezangu.
Ni wiki yote sikuwa mtu wa kwenda mbali na hapa ninapoishi.
Siku niliyotoka tu ndio siku niliyoibiwa,laptop na baadhi ya nguo.
Kabla ya siku ya tukio siku moja kabla alikuja rafiki angu saa moja jioni hadi usiku wa saa tatu akaondoka.
Nyumba ya jirani kuna vijana watatu ambao ni ndugu zangu.
Kumbuka sikuwa natoka hawa ndio waliniona siku hiyo natoka.
Wa kwanza aliniona natoka kimuonekano,alijua natoka.
Wa pili alijua natoka,alijua ninakokwenda tulitakiwa tutoke wote ila ila alidai anaumwa toka asubuhi.
Wa tatu alijua natoka na aliniona hadi napanda hiace kabisa.
Huyu ninayelala nae pia alijua natoka na ninakoenda ila yeye wiki hiyo yote mpaka leo alikuwa anatoka asubuhi na kurudi usiku.
Usimsahau mgeni wa siku moja kabla ya tukio.
NANI MUHISIWA HAPO KATIKA MAZINGIRA HAYO.