Nini kimemkumba Babu Seya ?

Nini kimemkumba Babu Seya ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,387
Reaction score
289,513
Mwaka mmoja baada ya kutoka jela ndio kapotea kabisa kwenye ramani , hasikiki , havumi na ameadimika mithili ya kuadimika kwa Chumvi mwaka 1983 ( watu wa zamani mtakumbuka jinsi watu walivyotumia magadi badala ya chumvi kuungia mchuzi )

Walipotolewa gerezani kinyume cha sheria ( mbakaji hana msamaha ) waliamua kujitolea kuisifu serikali na ccm bila mafanikio mithili ya kuupaka rangi upepo , walipogundua haiwezekani wakatoweka !
 
Labda watu wasiojulikana wamefanya walichoagizwa.
 
That was a political move,
Kwa masharti lakini,
Fanya hiki,usifanye kile, blah blah blah
 
Mwaka mmoja baada ya kutoka jela ndio kapotea kabisa kwenye ramani , hasikiki , havumi na ameadimika mithili ya kuadimika kwa Chumvi mwaka 1983 ( watu wa zamani mtakumbuka jinsi watu walivyotumia magadi badala ya chumvi kuungia mchuzi )

Walipotolewa gerezani kinyume cha sheria ( mbakaji hana msamaha ) waliamua kujitolea kuisifu serikali na ccm bila mafanikio mithili ya kuupaka rangi upepo , walipogundua haiwezekani wakatoweka !
utawaona kampeni za uchaguzi zitakapoanza mkuu usiwe na waswas .
 
Mwaka mmoja baada ya kutoka jela ndio kapotea kabisa kwenye ramani , hasikiki , havumi na ameadimika mithili ya kuadimika kwa Chumvi mwaka 1983 ( watu wa zamani mtakumbuka jinsi watu walivyotumia magadi badala ya chumvi kuungia mchuzi )

Walipotolewa gerezani kinyume cha sheria ( mbakaji hana msamaha ) waliamua kujitolea kuisifu serikali na ccm bila mafanikio mithili ya kuupaka rangi upepo , walipogundua haiwezekani wakatoweka !
Wamejifungia wanaandaa mashairi ya kuisifu ccm na mtukufu rais. Subiri kampeni zianze 2020 utawaona
 
Mwaka mmoja baada ya kutoka jela ndio kapotea kabisa kwenye ramani , hasikiki , havumi na ameadimika mithili ya kuadimika kwa Chumvi mwaka 1983 ( watu wa zamani mtakumbuka jinsi watu walivyotumia magadi badala ya chumvi kuungia mchuzi )

Walipotolewa gerezani kinyume cha sheria ( mbakaji hana msamaha ) waliamua kujitolea kuisifu serikali na ccm bila mafanikio mithili ya kuupaka rangi upepo , walipogundua haiwezekani wakatoweka !

Best we unaishi nchi hiii Au. Babu seya best wa mbowe ataisifiaje CCm. Huna news mkuu. Pole.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom