Shule za msingi Dar ('80-'09) zenye ushawishi mkubwa

Bluray

JF-Expert Member
Mar 25, 2008
3,449
127
Kama ungeambiwa utaje shule tano za msingi kutoka Dar-es-salaam (1980-2009) maridadi kabisa na zilizotoa vijana wenye ushawishi mkubwa sana ungetaja shule gani?
 
Kama ungeambiwa utaje shule tano za msingi kutoka Dar-es-salaam (1980-2009) maridadi kabisa na zilizotoa vijana wenye ushawishi mkubwa sana ungetaja shule gani?

...dah, sijui mtego huu? anyway...

Muhimbili Primary- (Kwa Mwl Ndossy hapa :D), Olympio Primary, Upanga Primary, Bunge Primary, Forodhani Primary, Zanaki Primary, Oysterbay Primary,...Mzizima Primary...!
 
Ha ha ha! Keko Magurumbasi, nimetoka hapo mimi
 
International School of Tanganyika,46 years and still rockin!
Can't mention any other without twitting it's prestige.
 
Shule ya msingi Mlimani lazima iwe kwenye hizo orodha ya tano bora. Na let me guess, Companero na Moelex (na VeraCity labda) ni products wa Mlimani....
 
Kama ungeambiwa utaje shule tano za msingi kutoka Dar-es-salaam (1980-2009) maridadi kabisa na zilizotoa vijana wenye ushawishi mkubwa sana ungetaja shule gani?

Ingekuwa vyema kama ungetoa sababu kwanza ya kufanya hii tafiti yako unayotaka kufanya hapa, otherwise ningekupna wa wamaana sana kama ungeanzisha thread ya kuona namna gani ya kuzisaidia zile shule zinazoonekana kusuasua, watoto wakisomea chini ya miti na kukaa chini.
 
Shule ya msingi Mlimani lazima iwe kwenye hizo orodha ya tano bora. Na let me guess, Companero na Moelex (na VeraCity labda) ni products wa Mlimani....

True that mkuu!!!

Baada ya mlimani then we can talk of Uhuru mcanganyiko, Wailesi, Mtakuja na Mapambano!!:D
 
Ingekuwa vyema kama ungetoa sababu kwanza ya kufanya hii tafiti yako unayotaka kufanya hapa, otherwise ningekupna wa wamaana sana kama ungeanzisha thread ya kuona namna gani ya kuzisaidia zile shule zinazoonekana kusuasua, watoto wakisomea chini ya miti na kukaa chini.

Tafiti gani?
 
Thread za kitotototo..lol

Sasa unachangia nini katika thread za kitotototo? Either si za kitoto hivyo kama hata wewe nawe umechangia, au kama ni za kitotototo basi na wewe ni mtotomtoto.

Nimeweka ma philosophical discourse kule watu hata kusoma wanashindwa, nikija na lightweight za weekend ambapo watu wanaopine freely na ku reminisce unaema thread za kitoto, unafurahisha.

Halafu thread si lazima zizaliwe zinakimbia, zinaweza kuanza kitoto lakini kutokana na michango iliyokomaa zikakua na kuchukua uzito mkubwa, wewe kama umeona thread ni ya kitoto hujasaidia kufanya hivi, kwa hiyo comment yako imekuwa ya kitoto zaidi ya hii thread.

Talking about hanging you by your own thread, eenh, comment. Wordplay.
 
Sasa unachangia nini katika thread za kitotototo?

Kuchangia thread unakokujua wewe ni kupi? Unaweza kuthibitisha pasi na shaka kuwa nimechangia?

Either si za kitoto hivyo kama hata wewe nawe umechangia, au kama ni za kitotototo basi na wewe ni mtotomtoto.

Unajenga dhana mfu halafu unatumia bila haya bila kuithibitisha, lol

Nimeweka ma philosophical discourse kule watu hata kusoma wanashindwa
Hilo ni tatizo lako

, nikija na lightweight za weekend ambapo watu wanaopine freely na ku reminisce unaema thread za kitoto, unafurahisha.

Asavali umethema menyewe..

Halafu thread si lazima zizaliwe zinakimbia, zinaweza kuanza kitoto lakini kutokana na michango iliyokomaa zikakua na kuchukua uzito mkubwa,
structural engineers tunasema structures ni msingi (foundation), sasa go & figure.

wewe kama umeona thread ni ya kitoto hujasaidia kufanya hivi, kwa hiyo comment yako imekuwa ya kitoto zaidi ya hii thread.
kivipi?

Talking about hanging you by your own thread, eenh, comment. Wordplay.

Sasa ume-hang nini na huu upupu? Mwe!
 
Kuchangia thread unakokujua wewe ni kupi? Unaweza kuthibitisha pasi na shaka kuwa nimechangia?

Unajenga dhana mfu halafu unatumia bila haya bila kuithibitisha, lol

Hilo ni tatizo lako

Asavali umethema menyewe..

structural engineers tunasema structures ni msingi (foundation), sasa go & figure.

kivipi?

Sasa ume-hang nini na huu upupu? Mwe!

Kama thread ya kitoto achana nayo, wewe si ombudsman wa kusema nini kiandikwe na nini kisiandikwe. Na kama inakukuna sana kiasi huwezi kuacha kuchangia (yes, kupost ni kuchangia) either na wewe ni mtoto au si ya kitoto hivyo.

Mifarisayo bwana, hapo hapo you are larger than life halafu hapo hapo unataka kuchangia hoja hizo hizo.

Sio lazima kila thread utie kidomodomo chako.
 
Kama thread ya kitoto achana nayo
Kwani wewe ni nani wa kuniambia niachane nayo? Kwani unaona sijaachana nayo? 'Kuacha' unakokujua wewe ni kupi?

, wewe si ombudsman wa kusema nini kiandikwe na nini kisiandikwe.

Tangu lini?

Na kama inakukuna sana kiasi huwezi kuacha kuchangia (yes, kupost ni kuchangia) either na wewe ni mtoto au si ya kitoto hivyo.

Sioni cha kukuna hapa, labda wewe unakiona kwa niaba yangu. (Sijui kwa ruhusa ya nani!)

Mifarisayo bwana, hapo hapo you are larger than life halafu hapo hapo unataka kuchangia hoja hizo hizo.

Ku-post kwako ni kuchangia, na hapo ndio matatizo yako yanapoanzia. Ki-uhalisia hii thread sijachangia chochote!

Sio lazima kila thread utie kidomodomo chako.

Actually natumia vidole na sio mdomo. Hivi unao ushahidi wa uyasemayo?
 
Ahaa!! Hii tafiti ina maana gani? na sisi tulitokea Kitunda Primary, Kuna Kibonde maji Primary , Mbagala Rangi Tatu Primary, Muungano Temeke Primary ukimalizia na shule niliyosoma mimi Vijibweni Primary
 
Makumbusho primary school na osterbay primary school nilikomalizia darasa la sita na saba...
 
Back
Top Bottom