Wacha asepe tuufinye vema.Kwahio mgeni rasmi hatakula hicho chakula?
Jambo kubwa litatokea kesho!!!
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]tunakoelekea mtakatifu rais atakaa vikao mpaka na WCB
Mimi ndio maana huwa sipendi kusikia mtu akiilaumu Taifa Stars hata ifungwe 80-0. Maana hawa wachezaji hatujagharamia elimu yao kama tunavyogharamia za hawa wasomi wetu na still tunafeli. Ni vile tu Taifa Stars wanacheza hadharani ndio maana tunawalaumu hovyo hovyo.

Huyu aliyeandaa hii ratiba, anasema kwamba...0815 - 0820 mchana mgeni rasmi ataondoka, halafu 0820 - 0900 WOTE watakula chakula cha mchana....aaaah, tuyaache tu 😀😀😀!