Madhara ya kunywa konyagi kubwa (Jibapa) ya 750ml

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Jamani, hasa wanywaji na msiokunywa, acheni kabisa kunywa Konyagi kubwa (toleo jipya) ya 750 ml.Ni kali sana na alcoholic yake ya 35% ni uongo, ipo zaidi ya hapo.

Yafuatayo ni baadhi ya madhara ya kutumia jipaba:

1. Kusahau mno

2. Inachosha ubongo

3. Upofu wa macho

4. Kulegeza joints za mwili

5. Inakufanya kuwa mkali, mgomvi na mbishi

6. Inapenda sana kuhamia chini
 
Huu uchochezi lazima tuukemee kwa sauti moja!!

Yani huu ukombozi unaufanyia usaliti wa namna hii??

Hii jibapa bhana, buku kumi tu ushamaliza mahesabu...

Long Live JiLusekelo!!

Tunakutakia maisha marefu, uendelee kutupa ujasiri, kuimba kwaya tukiwa bar na kutufundisha kiingereza!!
 
We inawezekana ulilinywa kabla hujasali. Mi naligonga peke yangu... Mabadiliko nayoyaona ni uwezo wangu wa kuongea kiingereza fasaha...
Io kingereza fasaha inaweza kuja na attached conditions. ... watu wanajikojolea,kucheka cheka ovyo weka mbali kupepesuka....hii hapana
 
We we hujanywa jibapa au umetumwa kuharibu biashara ya *jibapa* kwanza hiyo kitu ndo pombe pekee isiyo na mning'inio made in tz. Na ndiyo konyagi pekee ambayo wachakachuaji wameishindwa kuchakachua hasa kile kiplastic seal chake cha ndani.

Aise konyagi wamecheza kitu ukimimina kinatoka kikishatoka huwezi kurudisha its remarkable innovation.
 
Sio kwa jibapa... Jibapa linakupa nidhamu ya kuwahi kitandani. Mkojo utatoka wapi wakati jibapa linaukausha??

Hiyo ya kuchekacheka... sidhani. Ila najua linaletaga ubabe flani hivi, mtu akikuletea uzushi huchelewi kumanzishia kichapo... Hapo ndipo hatari inapokuja sasa...
 
We we hujanywa jibapa au umetumwa kuharibu biashara ya *jibapa* kwanza hiyo kitu ndo pombe pekee isiyo na mning'inio made in tz. Na ndiyo konyagi pekee ambayo wachakachuaji wameishindwa kuchakachua hasa kile kiplastic seal chake cha ndani.

Aise konyagi wamecheza kitu ukimimina kinatoka kikishatoka huwezi kurudisha its remarkable innovation.
Tena hii inaitwa "The spirit of the nation"
 
Jamani, hasa wanywaji na msiokunywa, acheni kabisa kunywa Konyagi kubwa (toleo jipya) ya 750 ml.Ni kali sana na alcoholic yake ya 35% ni uongo, ipo zaidi ya hapo.

Yafuatayo ni baadhi ya madhara ya kutumia jipaba:

1. Kusahau mno

2. Inachosha ubongo

3. Upofu wa macho

4. Kulegeza joints za mwili

5. Inakufanya kuwa mkali, mgomvi na mbishi

6. Inapenda sana kuhamia chini
Wewe utakuwa marketing officer wa K V...t.
 
Back
Top Bottom