TAKUTUMIA kimbolaaa

Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
3,272
2,000
Mazao ya muda mfupi, wangeweza toa onyo na kuyaacha yakastawi yakishavunwa WEKA uzio wa mita hizo 60. Tangu mwanzo mamlaka husika haikuona tatizo ama ndo mwaga mboga nami nimwage ugaliiiiiiiiiii

 

Attachments

  • maxresdefault-5-660x400.jpg
    File size
    69.6 KB
    Views
    19

Ochumeraa

JF-Expert Member
May 18, 2015
4,216
2,000
Wewe ndo utatuma Kimbola au? Kumbuka hii ni serikali ya wanyonge sasa hicho kimbola chako kisije kikadhuru watu
 

devor

JF-Expert Member
Oct 15, 2017
1,028
2,000
Hao ni wa pumbavu ambao hukimbilia kutoa maamuzi sio sahihi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom