Nahisi Tanzania hatujui ni kipi kinaanza kati ya hivi ndiyo maana tuna uchumi mdogo

Funguka zaidi mkuu!

By the way, we ndo tulikusubiria utuletee noah zetu au we ni mwingine??
 
Mtu akisema hiki ni kichwa cha mwendawazimu huwa anamaanisha kitu gani?
 
Funguka zaidi mkuu!

By the way, we ndo tulikusubiria utuletee noah zetu au we ni mwingine??
tunatakiwa tutawaliwe tena bado sana
UN wakiamua kuangalia nchi zote zilizotawaliwa na kupewa UHURU bila kupigana zilizotimiza ahadi walizotoa UN wakaaminiwa kupewa UHURU kama nyerere baadhi tu zingine ni AIBU
 
tunatakiwa tutaliwe tena bado sana
UN wakiamua kuangalia nchi zote zilizotawaliwa na kupewa UHURU bila kupigana zilizotimiza ahadi walizotoa UN wakaaminiwa kupewa UHURU kama nyerere baadhi tu zingine ni AIBU
Ok, nimekupata mkuu
 
Sio kwamba hawajui kuwa kuna mipango, malengo na vipaumbele, wanajua sana! tatizo ni siasa, tatizo ni kutaka kuonekana kuwa mimi ndio nimefanya.
 
Back
Top Bottom