Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama kichwa kilivyo hapo juu,nina mwanangu wa miaka miwili ansendelea vizuri sana kiafya. Ila nahitaji awe na toys mbalimbali sasa najua kuna wale waliowahi kuwa na watoto wadogo na wameshakua...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu. Naishauri TFDA ipite kwenye Super Markets na maduka mbalimbali nchini na kukagua bidhaa zinazo liwa au kunyweka kama vile Biscuits, juices nk. Binafsi sinunuagi bidhaa kama hizo bila...
0 Reactions
2 Replies
911 Views
kuna adhabu nyingi katika maisha ya binadamu kutokana na matukio au makosa mbalimbali anayotenda. lakini adhabu ambayo unaweza ipata kwa kutokukosea katika karne hii ni kuwa na akili na kuzitumia...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo nimeenda Kwa mchungaji Mwaiposa pale Tanganyika peckers Kuna wizi mkubwa Sana watu wanaibiwa kiujanjaujanja tu. Eti unalazimishwa kununua maji ambayo ameingia ubia na kambuni Fulani kisa...
27 Reactions
128 Replies
31K Views
KWA HALI KAMA HII 👇 UNATEGEMEA MADUKA MANGAPI KUWA HAI ZAIDI YA KUGAWANA BIDHAA NA KUPANGA BARABARANI..?
6 Reactions
50 Replies
11K Views
AFARIKI DUNIA KWA KUZIDIWA UTAMU WA MAPENZI. Kijana mmoja nchini Malawi Fletcher Jere (26) amefariki dunia kutokana na kuzidiwa utamu wakati akifanya ngono na kahaba mmoja mjini Blantyre. Gazeti...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nimetafakari kama gharama zangu za umeme ni sahihi au kuna 'leakage' sehemu. Naomba mwenye ufahamu anipe ufafanuzi. Kwa sasa ninaishi peke yangu lakini pia nyumbani ndiyo...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Tafakuri ya leo, kwa wale wanaotusisitiza vijana tujiari ilihali wao wameajiriwa. Naukumbuka huu msemo unaosema "Kaajiriwa ili kuwafundisha watu kujiajiri"
1 Reactions
1 Replies
687 Views
Kwa yoyote aliyepanga au ana kawaida ya kwenda Kariakoo, Posta, Mnazi mmoja na maeneo yote ya kati kati ya jiji. Ni muhimu kutunza uchafu wowote kwenye mfuko wako...Yaani usitupe hata tiketi yako...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyo Ni mzee Wa upako leo ikulu katika Maombi maZito Ya Uwekwaji sahihi Mkataba Wa umeme st gorge Tumebarikiwa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Maafisa wakuu wa Urusi na Marekani wamejibizana baada ya ndege mbili kubwa za kuangusha mabomu za Urusi kutua nchini Venezuela, taifa linalopatikana Amerika Kusini. Ndege hizo mbili zina uwezo wa...
3 Reactions
27 Replies
7K Views
Eti round about ya kuelekea tandika buza au Davis corner kuna mtu kachinjwa kama kuku achinjwavyo wakazi wa maeneo hayo mtujuze
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Nashukuru kidogo Mwenyezi Mungu kuwa katika pita pita zangu hapa na pale na katika baadhi ya nchi ( japo siku hizi sipendi Kusafiri kama Fulani Fulani ) niliweza kukutana na Wazungu ( ambao...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu salama.. Bila kupoteza mda kijana wenu na matatizo makubwa sio kwamba naumwa no niko mzima Wa afya. Tatizo nalopitia ni kufanya mambo yanakwama kila napojitahidi nakwama kama kijana ambaye...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amekubali kusali jumapili hii katika kanisa la Ufufuo na Uzima la mch Gwajima. Baada ya shughuli ya kutiliana saini mkataba wa ujenzi wa bwawa la...
6 Reactions
38 Replies
6K Views
Mama wa mtoto huyo aitwaye Regina Hassan akiwa mkoani Morogoro aliliambia Uwazi hivi karibuni kuwa: “Mimi naishi Mzumbe Wilaya ya Mvomero, mwanangu alikuwa ana tatizo la upungufu wa damu mwilini...
9 Reactions
57 Replies
6K Views
Salaam sana ndugu zangu wana JF wale wote ambao ni waajiriwa na ambao sio waajiriwa. Leo tarehe 13 December 2018 zimesalia siku 18 kumaliza mwaka huu. Tumuombe mungu kwa pamoja ili tuweze kuiona...
0 Reactions
0 Replies
749 Views
Yereeeeeeeh! Walianza kupotea mwanzoni 2016. Tukawa tunajiuliza wamekwenda wapi? Membe alipoanza kujambisha wadau magogoni mara ghafla hao wameibuka jamvini. Hawa ni akina Ritz (zombie face...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Hili jambo litaondoka na mtu kama halitatatuliwa maana sehemu nyingi nchini wafanyakazi wamechachamaa,
0 Reactions
7 Replies
2K Views
POLISI mkoani Morogoro imefanikiwa kuwatia mbaroni watu watatu akiwemo Filbert Katabazi (35) dalali wa magari mkazi wa Makongo Dar es Salaam, aliyekuwa akisakwa kwa muda mrefu na Polisi kwa tuhuma...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom