Ni nini kimetokea round about ya buza na tandika

Ni nini kimetokea round about ya buza na tandika

aimi lyatuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
765
Reaction score
849
Eti round about ya kuelekea tandika buza au Davis corner kuna mtu kachinjwa kama kuku achinjwavyo wakazi wa maeneo hayo mtujuze
 
Mkuu kumbe umesikia halafu unakuja kutuuliza huku, habari za kusikia usizilete mtandaoni maana kuna wengine watahitaji picha sasa sijui kama utakua na picha ya kusikia wakitaka uwawekee picha ya tukio ulilosikia?
 
Wakuu ni taarifa zisizo za uhakika ndo nikaomba kwa wale wakazi wa eneo lile watie neno ni kweli ama si kweli
 
Back
Top Bottom