Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna mwingine unaweza msaidia kutoka kwenye janga.. Baada ya hapo atakufanyia ubaya Kuna mwingine kigeugeu mno.hashindwi kukugeuka sekunde yoyote...unampa lifti thn anakutisha nipe hela la sivo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tar 12 /12 kamati ya siasa ya CCM Jimbo la Babati mjini imetembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa Baadae ilihitimisha kwa kufanya mkutano wa hadhara na wananchi wa mtaa wa hangoni...
0 Reactions
1 Replies
732 Views
Serikali imepiga marufuku uchomaji matofali kwa njia ya tanuri kwa kutumia nishati ya kuni hasa katika maeneo ya mijini na badala yake imewataka wachomaji hao watumie pumba kama nishati mbadala...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Kazi ya Usimikaji wa Nguzo za Umeme utakaotumika Kuendesha treni za Kisasa zitakazotumia Umeme na Reli ya kisasa - SGR imeanza eneo la Soga nje Kidogo ya Kambi ya Ujenzi wa Reli ya Kisasa liyopo...
53 Reactions
155 Replies
26K Views
Hatimaye yametimia. Ilikuwa jana tu mfalme wa Dar es Salaam kaja kwetu kuombewa na mashehe wetu kwamba kuna mtu anataka kumtupia majini, swali, Je Mungu ni wa michangano namna hii, mara leo...
4 Reactions
42 Replies
6K Views
MAZOEZI ni muhimu kwa afya ya mwanadamu lakini ikiwa yatafanyika holela muhusika anajiweka katika hatari zaidi badala ya faida, imefahamika. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Siwezi kushangaa kwa sababu alisema Sadamu Hussen Aliuawa na wananchi wa Libya badala ya Gadaffi
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Ndugu wanajamii nimepatwa na jambo la kuumiza sana na naamini tupo wengi wahanga wa kuibiwa katika hizi bus za abood, nasema hivi kwakulingana na wingi wa taarifa ambazo police wamekua wakipokea...
1 Reactions
62 Replies
10K Views
Kila pahala sasa ni kuhisi kuhujumiwa tu,leo tena mawakala wa ukatishaji tiketi wa mashirika ya ndege wametupiwa lawama kuwa wana lihujumu shirika la ATCL, Hivi kwanini tuhisi tunahujumiwa kila...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Tuko ndani ya basi hili la Morogoro-Dar ni saa 3 na robo usiku kondakta ameamua kuweka sinema ya kishenzi ya mapenzi inayoonyesha mwanaume akiwabadilisha wanawake mbalimbali chumba cha guest...
10 Reactions
76 Replies
12K Views
Miezi yoooote hiyo hutakaa uwasikie sumatra wakiwajibika kwa jambo linalohusu nauli, ispokuwa kipindi hiki. Yaani sumatra hawasikiki hadi ifike December lakini mimi najiuliza swali dogo ambalo...
2 Reactions
7 Replies
970 Views
Marehemu Odila Ongara alikuwa mtumishi mwandamizi serikalini hadi kufikia ngazi ya Katibu Mkuu wa wizara mbalimbali. Amefia Iringa jana. Poleni wafiwa wote.
0 Reactions
26 Replies
5K Views
NI KIVUMBI KWELI KWELI Moto huo ulizuka mwendo wa saa nane usiku wa manane na kuzua taharuki ikizingatiwa kwamba ni siku 10 zilizosalia kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika nchini humo. Moshi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Moto mkubwa uliowaka usiku wa kuamkia leo umeteketeza ghala la Tume ya Uchaguzi ya DR Congo (CENI) Kinshasa, na kuharibu vifaa vilivyokuwa vitumike katika uchaguzi mkuu wa Disemba 23, 2018...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kijana mmoja wa miaka 20 amezama mtoni na kufariki wakati akibatizwa na mchungaji jijini Accra, Ghana. Katika picha ya video ambayo imesambazwa kwenye mitandao ya kijamii, kijana huyo, Yaw...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mahakama Kuu ya Tanzania leo, Desemba 13, 2018, imetoa amri ya kuzuia TFF kujaza nafasi ya mjumbe wa kamati ya utendaji ya shirikisho la soka nchini Danstan Mkundi. Jaji Kiongozi wa mahakama...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ee Mungu embu niambie hiyo 2016 hadi walipoamua kuunga mkono juhudi wameona nini cha tofauti? *kwako wewe MODERATOR unayefutaga hizi tweets za hawa jamaa,Mungu akulaani ukifuta na hiii*
2 Reactions
14 Replies
2K Views
tanesco tanesco tanesco kuna tatizo gani siku ya pili watu hawana umeme? na ni makao makuu ya nchi.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Maji ya kunywa ya uhai yana ladha mbaya chumvi isiyofaa kwa matumizi ya kunywa. Hivi wanachota baharini? TFDA na tbs toeni majibu kuhusu maji haya. Kunywa Chumvi nyingi kuna madhara kiafya. A...
2 Reactions
127 Replies
16K Views
Kampuni mbili kutoka India na Kenya zimekwama kununua tani 130,000 za korosho nchini Tanzania kwa bei kati ya Sh3,800 na 3,500 kwa kila kilo. Hayo yameelezwa katika ripoti ya kutathmini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom