Tz ya sasa ili uchomoe kuna njia mbili tu
1. Uwe mnafiki wa kiwango cha juu kbsa
2. Uwe smart kichwani na timing.
Kpnd kile ilikua wanaochomoa ni wale wajanja wajanja wa mjini, asahv NO ujanja, ni either ujuaji au unafiki, ila ukiwa katikati lazima uzisome za kilatini