Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kauli iliyo tolewa na generally na akasisitiza kuwa hii ni operation kama zingine hivyo walale kwenye mahema Na watumie mishahara yao. Vijana wa jkt wameondolewa kwenye magadauni yote . Chanzo ni...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za wakati wakuu wa JF Kuna jambo nimekuwa nikilifikiria muda mrefu. Je CEO's, Directors na Viongozi wengine wa makampuni hapa Tanzania ambao pia ni wamiliki wa hayo makapuni, je ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kutokana na kasi ya ukuaji wa technolojia itachukua miaka michache sana shughuli nyingi za Benki zitakuwa zinafanyika kupitia technoljia. Sasa hivi wateja wengi wamepungua kungia benki kwa sababu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mapema asubuhi, mnamo 30 Oktoba 1961, ndege ya kuangusha mabomu ya Muungano wa Usovieti aina ya Tu-95 ilipaa kutoka uwanja wa kambi ya ndege za kivita ya Olenya katika rasi ya Kola kaskazini mwa...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Mwigoro na ndugu yako wa wizara ya maji malumbano ya nini? Mbona kama sehemu ya kupatia kipato tiari mnayo? Mnalumbana kisa jimbo tu? By mwigolo voice: kuna watu wanapita pita kwa wananchi...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
BENKI Kuu (BoT) imesema kuna benki 55 zimeonekana kutojitanua katika mikoa mingi nchini na inaendelea kuzifuatilia ili kuzichukulia hatua ----- Gavana BoT, Prof. Florens Luoga amebainisha hiyo...
5 Reactions
55 Replies
9K Views
Hawa jamaa sasa wanavuka mipaka. Hamna mandate kisheria ya kuandaa shindano la wateule wa Rais. Endeleeni kuhabarisha na kuburudisha watanzania. Kwani hapo kwenu wengine sio watangazaji kwa kua...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekaa na kujiuliza swali hapo juu, maana kila kukicha ukienda kwa hospital hasa vitengo vya tiba ya meno unakutana na kundi la binadamu wakiwa katika kupata huduma ya meno. Lakini kwa hawa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nadhani wote tumeona madhara makubwa yaliyoletwa na Warusi kupitia Facebook katika uchaguzi wa Marekani na matatizo makubwa yanayoikumba hiyo kampuni kwa sababu hiyo. Lakini hapa kwetu...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Ndugu zangu, naomba kila mmoja ajitahidi kuelezea dhana ya watu wa kundi fulani dogo kuitwa WAHESHIMIWA. Lengo ni kujua vigezo vinavyomfanya Mtu aitwe MHESHIMIWA. Ahsante. Nawasilisha. Karibuni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Bosi wa Clouds Media amesema tangu kutokea changamoto ya local channels kuondolewa kwenye ving'amuzi vyombo vya habari hivo vimeathirika kwa kiwango kikubwa na hapo wanapenda kutoa ajira kwa...
10 Reactions
326 Replies
51K Views
Mkazi wa kijiji Kalagenda wilayani Ngara mkoani Kagera Robert Jacob ambaye ni mkulima amepoteza maisha baada ya kupigwa na radi iliyoambatana na mvua kubwa yenye upepo mkali wakati akiwa pembezoni...
0 Reactions
2 Replies
995 Views
Kama kuna Siku ambayo GENTAMYCINE nitajibiwa Swali langu na nitaridhika basi ni hii ya leo hasa kutokana na kwamba hili jambo limekuwa ' likinisumbua ' sana kwa muda mrefu baada ya Kujiridhisha...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu zangu Wasabato na mtu yeyote asie Msabato- ila anaamini kama waaminivyo Wasabato kuwa ufalme wa mwisho utakaokuwa unatawala kabla ya Utawala wa Milele (Usio na Mwisho) wa Bwana wetu Yesu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Labda ni Tanzania pekee ambako kila siku askari wanasimamisha gari ili watafute kosa kuhusu wewe dereva au gari. Ni kwamba askari anapoamua kusimamisha gari, dereva unakuwa huna kosa aliloona...
24 Reactions
75 Replies
9K Views
Nimekuwa nikisikia uhakiki wa wakulima fake wa Korosho kunyanganywa Korosho baada ya kukosa kuonyesha mashamba wanayomiliki hii sio haki. Mwaka 2013 Nilikuwa na rafiki yangu (marehem kwa Sasa)...
13 Reactions
36 Replies
4K Views
Nimesikia Kauli za Bashiru dhidi ya Membe na Msekwa! Nimeelewa ndio maana wasomi wengi wa mlimani Ni hasara kwa taifa! Hayo ni maneno ya Mchungaji Msigwa Mbunge wa Iringa Mjini katika mtandao wa...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
"Tunawaletea walimu shuleni kwenu kwa kulingana na idadi ya wanafunzi" Kauli hii hutolewa na viongozi wa TAMISEMI. Habari zenu ndugu zangu!! Kuajiri walimu kulingana na idadi ya wanafunzi kuna...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
WATU wawili wamefariki dunia Mkoani Morogoro baada ya mtu aliyedaiwa kuwa na ugonjwa wa akili kumuua ndugu yake na kisha naye kujinyonga walipokuwa kwa mganga wa kienyeji kwaajili ya kupata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom