Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,208
- 3,609
Kama kichwa kilivyo hapo juu,nina mwanangu wa miaka miwili ansendelea vizuri sana kiafya.
Ila nahitaji awe na toys mbalimbali sasa najua kuna wale waliowahi kuwa na watoto wadogo na wameshakua wakubwa hawana tena matumizi na hizo toys.
Nasikia ni muhimu sana kwa makuzi ya mtoto ila tatizo ni gharama na vyuma vimekaza.
Nashukuruni.