Fundi_Mjasiriamali
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 745
- 1,355
Tafakuri ya leo, kwa wale wanaotusisitiza vijana tujiari ilihali wao wameajiriwa.
Naukumbuka huu msemo unaosema
"Kaajiriwa ili kuwafundisha watu kujiajiri"
Naukumbuka huu msemo unaosema
"Kaajiriwa ili kuwafundisha watu kujiajiri"