Habari ya juma mosi wakuu..!!
Kama nilivyo anza na kugusia hapo kwenye utangulizi, kidogo kuna mambo yananitatiza sana kwa muda kidogo ingawa nimejaribu kutafakari na kusoma vitabu kadhaa ili...
Kitambulisho cha Vladimir Putin (MBABE WA VITA) akiwa jasusi wa KGB chapatikana Ujerumani
Idara ya ujasusi ya Ujerumani Mashariki ilifahamika kama Stasi, lakini kwa kirefu ni Ministerium...
Nimefanya kazi katika kampuni hii kwa miaka minne kama afisa manunuzi. Kutokana na ugumu wa soko, ikabidi team ya "sales" iongezewe nguvu na ndipo watu kutoka vitengo vingine ikabidi tuhamishiwe...
Kutokana na maendeleo ya sayansi ya teknologia Tanzania,Dini zimeanza kutumia internet sawia na mashirika ya kibiashara kujitangaza. Hivi viashiria vimepelea watu kusema kwamba " dini zimekuwa...
MCHUNGAJI Ambilikile Masapila (78) ameibuka na kudai Mungu amemuonyesha unyayo wa mtu wa 182 tangu kuumbwa kwa Adamu.
Masapila amekuwa maarufu kwa kutoa huduma ya dawa kwenye kikombe...
Jeshi la Polisi mkoani Manyara, linamshikilia Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wa Monduli mkoani Arusha kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya mirungi kilo 20.
Akithibitisha...
Salamu wakuu,niende moja kwa moja kwenye mada.
Katika mapambano ya kujiajiri,kuna nyakati zinakuwa ngumu mnoo.
Unaweza wekeza let say 20 mil, lakini mwisho wa siku unajikuta unaokoa 3 milion.
Na...
Mie ni mteja ninayetumia zaidi ya mtandao mmoja wa simu, na huwa kila tangazo la mtandao la wowote linapotoka kwenye vyombo vya habari huwa nalifanyia kazi kama nahisi lina tija kwangu. Siku za...
Babu yangu alizaliwa mwaka 1924. Alikuwa mtoto wa pili kati ya watoto 5. Lakini alikuwa na ndugu wengine wengi kwa upande wa baba yake. Baba alikuwa tajiri sana kwa wakati huo. Alikuwa ana...
Kwa muda wa miaka 5 mitano kuwa hapa jukwaani,nimejifunza mengi na kuongeza maarifa kwa kusoma mada mbalimabli katika majukwaa mbalimabli,wanamember wote waanzilishi wa mada mbalimbali wamekuwa...
Mazee vijana wenzangu ambao bado tupo tupo makazini vijana wakileo ase kwa hii ya wastaafu inayokuta waswahiri husema ukiona mwenzako ananyolewa zako......
Vijana ile tabia ya kuanza tu kazi na...
Wakuu pole na mihangaiko ya kila siku. Nchi yetu inajenga reli ya kisasa Kwa mabilioni ya dola($3.2b) kutoka Dar kwenda maktupora.
Nashukuru mimi ninausika na ujenzi huu nkiwa kama mhandisi wa...
Sometime inachekesha[emoji23][emoji23][emoji23] mnaweza sema kwa sababu wamesoma shule za gharama
Ooh wazazi wao wana pesa wawalilie na chuo
But turud katika ukweli “ hawa ni watu wenye uwezo...
Niko maeneo napata moja moto moja baridi nikiangalia watu wakijimwaga na ngoma ya mdogo mdogo.
pia navuta hisia za miaka 18 iliyopita nilipokuwa nakaa bagamoyo na kuhudhuria sherehe za harusi...
Siku zote watu wenye hatima kubwa zenye utukufu daima,huwa wana pitia changamoto mbali mbali,na misukosuko kwenye maisha yao,
Lakini jambo la muhimu ni vizuri kujua siku zote mpango wa Mungu...
Wadau funguo ya gari aina ya suzuki carry imepotea hivyo naombeni msaada ni maeneo gani naweza kwenda kutengeneza funguo mpya kwa hapa Dar na process zake ..
Carry ni model aidha ya 2001 au 1997...
Wakuu nawaza tu,
Mara kadhaa nikikutana na wadada hawa wenye shape zao... wale wenye mahips na mapaja makubwa mara nyingi wamekaa kimalayamalaya sana. Akitembea kama vile anajilambaza aliwe tu...
Kwenu,
Kwa muda sasa najihusisha na michezo ya kubahatisha, hasa BIKO naTATUMZUKA. Kwa kiasi fulani napata.
Ukibahatika kupata Sh.100,000 wanakata juu kwa juu Sh.18,000 na unapokea Sh. 82,000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.