PICHA: Biashara chini ya 4 milioni

PICHA: Biashara chini ya 4 milioni

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,267
Reaction score
25,557
KWA HALI KAMA HII 👇 UNATEGEMEA MADUKA MANGAPI KUWA HAI ZAIDI YA KUGAWANA BIDHAA NA KUPANGA BARABARANI..?
IMG_20180615_105249.jpg
 
Ni lazima ziwe bidhaa zinazouzika kwa haraka,la sivyo uhifadhi huu unazifanya zichakae mapema sana.
Na bahati mbaya siku hizi, mfanyabiashara akifungua duka asubuhi, kitu cha kwanza ni kutoa bidhaa nje, mpaka njia ya watembea kwa miguu inakuwa finyu sana, barabara ya watembe kwa miguu inawekewa bidhaa, matokeo yake wanalazimika kupita kwenye njia ya magari. Lakini ndio hivyo riziki inatafutwa watoto wakupokee jioni.
 
Wazo ni jema kuongeza wigo wa kodi, Sina hakika utafiti ulifanyika wapi wa 4M ,Tzs, mkuu anawapa taabu sana TRA na watendaji wake kutekeleza hili,kodi INA kanuni zake.Si suala la siasa ama matamko.
 
Kati ya watanzania milioni 54 wakipatikana wafanya biashara wadogo wadogo milioni 3*20,000= 60,000,000,000/= kwa mwaka ambazo TRA wanazikosa kwa sasa.

Athari yake ni kuporomoka kwa wafanya biashara wa kati.
 
Ni lazima ziwe bidhaa zinazouzika kwa haraka,la sivyo uhifadhi huu unazifanya zichakae mapema sana.
Na bahati mbaya siku hizi, mfanyabiasharaakifungua duka asubuhi, kitu cha kwanza ni kutoa bidhaa nje mpaka njia ya watembea kwa miguu inakuwa finyu sana, wapita njia njia yao inawekwa bidhaa wanalazimika kupita kwenye njia ya magari. Lakini ndio hivyo riziki inatafutwa watoto wakupokee jioni.
tunaongozwa na kaburu ndugu yangu.......... tutafanyeje?
 
Back
Top Bottom