Polisi wakati mwingine wanatumia hekima sana

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,216
5,940
AFARIKI DUNIA KWA KUZIDIWA UTAMU WA MAPENZI.
Kijana mmoja nchini Malawi Fletcher Jere (26) amefariki dunia kutokana na kuzidiwa utamu wakati akifanya ngono na kahaba mmoja mjini Blantyre. Gazeti la Daily Times nchini Malawi limeripoti kuwa kijana huyo alinunua kahaba huyo maeneo ya Ndirabe katikati ya jiji la Blantyre. Afisa wa Polisi mjini Blantyre Bi.Edina Ligowe amesema Jerre alikufa kutokana na kuwa na hisia za juu sana pamoja na kuhisi utamu uliopitiliza wakati akifanya ngono na kahaba huyo (sexual excitement and sweetness). Aidha Afisa huyo amesema kuwa kahaba huyo hatafunguliwa mashtaka yoyote kwa sababu hakuna kosa alilofanya kwa yeye kuwa mtamu kupitiliza.
 
Sio polisi wa Tanzania. Kwanza dada wa watu angeswekwa ndani, angechezea VIFURUSHI VYA CHUO vya dakika za makofi ya kutosha.

Halafu kama kuachiwa, utaachiwa na mahakama huko baada ya miaka 10.
 
AFARIKI DUNIA KWA KUZIDIWA UTAMU WA MAPENZI.
Kijana mmoja nchini Malawi Fletcher Jere (26) amefariki dunia kutokana na kuzidiwa utamu wakati akifanya ngono na kahaba mmoja mjini Blantyre. Gazeti la Daily Times nchini Malawi limeripoti kuwa kijana huyo alinunua kahaba huyo maeneo ya Ndirabe katikati ya jiji la Blantyre. Afisa wa Polisi mjini Blantyre Bi.Edina Ligowe amesema Jerre alikufa kutokana na kuwa na hisia za juu sana pamoja na kuhisi utamu uliopitiliza wakati akifanya ngono na kahaba huyo (sexual excitement and sweetness). Aidha Afisa huyo amesema kuwa kahaba huyo hatafunguliwa mashtaka yoyote kwa sababu hakuna kosa alilofanya kwa yeye kuwa mtamu kupitiliza.
Chanzo cha habari yako tafadhari.!
 
Huyo Jamaa Alikuwa Boya Tu, Kahaba Atakuaje Mtamu Wakati Anachangiwa Na Watu Wengi?
 
Back
Top Bottom