Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,475
- 11,674
Kuna mwingine unaweza msaidia kutoka kwenye janga.. Baada ya hapo atakufanyia ubaya
Kuna mwingine kigeugeu mno.hashindwi kukugeuka sekunde yoyote...unampa lifti thn anakutisha nipe hela la sivo napiga kelele unanibaka uuliwe. Ghafla siku unamkuta yuko hoi unaombwa umbebe na gari lako.hadi unajiuliza nkinsaidia itakuwaje?
Kuna mwingine unaweza mkuta anazama kwenye maji ukamuokoa badala ya asante anakutukana.. Ukimkuta tena siku nyingine??
Hiyo ni mifano tu
Kuna kukwaza na kukwazana kwenye maisha lakini isiwe vitu vya makusudi
Simaanishi mtu asimsaidie mwingine kwa kigezo cha jambo fulani alotenda..
Watu hibadilika wanapogundua makosa yao
Lakini hii ni kwa wale wasiopenda kubadilika..tabia zao zimekua kama rangi za ngozi zao na utamulisho