Haya ndiyo matatizo makubwa kwa nchi za Afrika inapofika muda wa uchaguzi

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
DuRzsNiWoAIz8DR.jpg

Moto mkubwa uliowaka usiku wa kuamkia leo umeteketeza ghala la Tume ya Uchaguzi ya DR Congo (CENI) Kinshasa, na kuharibu vifaa vilivyokuwa vitumike katika uchaguzi mkuu wa Disemba 23, 2018. Uchaguzi huo unahofiwa kuwa na vurugu, kutokana na mgororo kati chama tawala na upinzani.
 
Back
Top Bottom