Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,674
- 23,537
Hatimaye yametimia. Ilikuwa jana tu mfalme wa Dar es Salaam kaja kwetu kuombewa na mashehe wetu kwamba kuna mtu anataka kumtupia majini, swali, Je Mungu ni wa michangano namna hii, mara leo unaombewa huku mara kule maaskofu mara unaombewa na shehe , je kama Mungu ni mmoja na anasikia si hawa wanaomuombea waunganishe na dini zao?
Nasema waunganishe maana utengano wao ni kutokana wa wakatoliki kumwomba bikira maria awarehemu, wapentekoste hasa Assemblies of God na wengine kuamini Yesu ni Mungu huku sisi waaislamu tukiamini Allah, Mtume Muhamaad, sasa mkuu atuambie aombewe kwa jina lipi?
Je hizi sala zitafika kweli ama ni maigizo ya kututoa kwenye upepo wa kisiasa?