falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,230
- 9,360
Miezi yoooote hiyo hutakaa uwasikie sumatra wakiwajibika kwa jambo linalohusu nauli, ispokuwa kipindi hiki.
Yaani sumatra hawasikiki hadi ifike December
lakini mimi najiuliza swali dogo ambalo sina majibu yake,
Sumatra ipo kwa ajili ya kusimamia magari ya abiria kipindi cha december tupu au sumatra ipo kusimamia usafirishaji ardhin majini na nchi kavu,
mbona hatuoni sumatra ikipaza sauti kwenye vyombi vingine vyausafirishaji vinapopandisha nauli.... mfano nauli za ndege boti treni...
je sumatra ipo kusimamia nauli pekee? Nina hakika sumatra hawafanyi research on field bali wanafanya research wakiwa ofisin ndio maana sheria zingine wanaziweka hadi unajiuliza kama hawa watu huwa wanafanyaga research