Abood bus service na matusi ya kwenye video gari #T873

nndondo

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
1,251
895
Tuko ndani ya basi hili la Morogoro-Dar ni saa 3 na robo usiku kondakta ameamua kuweka sinema ya kishenzi ya mapenzi inayoonyesha mwanaume akiwabadilisha wanawake mbalimbali chumba cha guest house.

Sinema hii sio kwa public consumption, inawadhalilisha wanawake, haina mafunzo yoyote kwa jamii, na haitakiwi kwa namna yoyote kwenye usafiri wa umma.

Pamoja na abiria kupiga kelele wahudumu hawa hawaonekani kushtuka. Naomba sana TCRA.

Wakina Mundy, mama Mdachi, sumatra mchukue hatua mara moja kwa haya mabasi ya Abood na mengine yote ya tabia hizi, we dont pay our money to be subjectes to such abuses suala la maadili ni jukumu lao.

Elimu ya kawaida na misingi ya kazi na hekima vinatosha kufanya sawa, hiki cha kuleta mapenzi, tena ya kishamba, kwa translation za kiingereza kibovu yakomeshwe mara moja kwa kuwachukulia hatua watu hawa .
 
Tuko ndani ya basi hili la morogoro dar ni saa 3 na robo usiku kondakta ameamua kuweka sinema yabkishenzi iya mapenzi inayoonyesha mwanaume akuwabadikisha wanawake mbali mbali chumba cha guest house. Sinema hii sio kwa public cinsumption, inawadhalilisha wanawake, hauna mafunzo.yoyote kwa jamii, na haitakiwi kwa namna yoyote kwenye usafiri wa umma. Pamoja na abiria kupiga kelele wahudumu hawa hawainekani kushituka. Naomba sana tcra.wakina mundy, mama mdachi, sumatra mchukue hatua mara moja kwa haya mabasi ya abood na mengine yote ya tabia hizi, we dont.pay our money to.be subjectes to such.abuses. swala la maadili ni jukumu lao. Elimu ya kawaida na misingi ya kazi na hekima vinatosha kufanya sawa, hiki cha kuleta mapenzi, tena ya kishamba, kwa translation za kiingereza kibovu yakomeshwe mara moja kwa kuwachukulia hatua watu hawa .

Movie imehaririwa ipo OK kwa kutazamwa, kama mdini pambana na hali yako kwa kufumba macho kukidhi matakwa ya imani yako.
 
Kuna siku nilikua natoka bujumbura usiku mnene jamaa wakaweka movie ya X yaani pure X duh nilichoka kabisa nikasema sasa ningesafiri na watu ninaowaheshimu ingekuaje
 
Back
Top Bottom