Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimekuwa najaribu kusajiri mara kwa mara lakini ni kama kuna ugumu fulani... Kuna kipengele cha kujaza kitambulisho. Lakini sio wote wenye vitambulisho vya...
0 Reactions
0 Replies
536 Views
Shaloom Aslam aleykum wanajukwaa Hii nchi yetu ya Tanzania bado ni miongoni mwa nchi masikini japo Rais Magufuli anajitaidi sana Yatakiwa ujue nini kilifanyika Baada ya taifa kuwa huru 1961 kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa, Kuna hii alama ambayo ipo kama kovu dogo mkono wa kulia chini kidogo ya bega. Mpaka sasa nimeona watu takribani watatu tu ndo hawana hiyo kitu na nimeuliza nikaambiwa ni...
0 Reactions
32 Replies
14K Views
Inadai mugabe amefariki muda si mrefu na amekuwa akisumbuliwa na kansa ya kibofu
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Inasikitisha kuona ingawa dhamira zetu ni nzuri kwa kuwapa watoto watakayo msimu huu, sisi wazazi ni sehemu ya tatizo pale watoto wanapoharibikiwa kadri wanavyokua. Tunakusogezea njia muhimu saba...
6 Reactions
7 Replies
4K Views
Mada hii ndiyo inayozungumziwa. Vyuo vikuu vimelaumiwa sana, huku Abdul Nondo akisema yaliyojiri SAUT na UDSM vimetokana na yeye kumpigia simu professor Joyce Ndalichako aingilie kati kunusuru...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wapendwa hamjambo? Naomba tuangalie hii "jamii" ijulikanayo kama "WASIOJULIKANA" Kabla ya kwenda mbali tujiulize maswali yafuatayo:- 1. Wasiojulikana ni akina nani? 2.Wanafanya hayo wayafanyayo...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Elimu, Maarifa Hekima moja ya vitu ambavyo humuweka mtu huru dhidi ya Ujinga na Upumbavu kwani hawa ndiyo maadui wakuu wa Maendeleo kama tukiweza kuwashinda huleta ukombozi wa fikra na Matendo...
1 Reactions
0 Replies
768 Views
Yaani atatamani hata ajikate yeye na visu maana raha ya PSYCHO ni kukuona wewe ukiugulia maumivu,kwa mfano siasa za kiafrika madikteta kabla ya kuwakamata na kuwatupa wapinzani wao...
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Kwa wafuatiliaji wa tamthiriya pendwa azam tv Hii Jamai Raja ilianzaga vizuri sana na ikatupa na hamasa Ya kuifuatilia lakini îlipofikia île siku alipouawa Rajvee kwa Risasi iliyopigwa na mama...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Ni wizi maana wanatoza riba kubwa kuliko hata mabenki na matangazo yao yanasheheresha huo wizi. Ukitaka kukopa tshs 6,000/= utakatwa kamaifuatavyo; kopa tshs 500, lipa tsh 565 kopa tsh 1,000...
0 Reactions
16 Replies
16K Views
...Kuna habari ngumu na hatari hutolewa na vyombo vya habari vya nje. Mfano habari ya mauaji yanayoendelea kutokea Burundi kimya kimya, BBC wameonesha mpaka nyumba ambayo watu huuawa. Wameonesha...
11 Reactions
67 Replies
7K Views
Source. Mwananchi toleo la Alhamisi, tarehe 13.12.2018
0 Reactions
9 Replies
2K Views
SEHEMU YA 2 Uwapo kweny kona au unapoikaribia kona bana zaidi upande wako karibu na mstari kushoto kwako (tambaa na chaki), pia punguza mwendo SEHEMU YA 3 Unapokuwa highway kwa gari ndogo na...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Namnukuu HK: "Kwanza, niseme hapa wazi kwamba, ni mwendawazimu tu ama mtu asiyeelewa mahusiano ya Mhe. Deo Filikunjombe (Mb.) na Mhe. Spika Anne Makinda (Mb.) ama na Mhe. Kangi Lugora (Mb.)...
1 Reactions
27 Replies
7K Views
VETA kwenye website yenu mumeweka kichwa kinachosema majina ya waliochaguliwa haya hapa ukibofya Hamna kitu.Kulikoni Mafundi stadi wa VETA? Huo ndio ufundi stadi?
0 Reactions
0 Replies
666 Views
Harakati za kutetea mazingira (flora and fauna) zilianzishwa na mama wasweden marehemu RACHEL Carlson alipotoa kitabu chake cha SILENT SPRING. Kitabu hiki kilikuwa kinaeleza kuhusu bonde moja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mtandao wa citypages.com umelitaja jiji la Dar es Salaam kama jiji la pili kwa watu waoga zaidi Afrika (Cities with the most coward people in Africa). Utafiti uliofanywa na mtandao huo unaonesha...
10 Reactions
81 Replies
33K Views
Back
Top Bottom