Random
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 791
- 744
SEHEMU YA 2
Uwapo kweny kona au unapoikaribia kona bana zaidi upande wako karibu na mstari kushoto kwako (tambaa na chaki), pia punguza mwendo
SEHEMU YA 3
Unapokuwa highway kwa gari ndogo na unahitaji kumruhusu mweny gar kubwa aingie highway bas muachie nafasi usimkaribie kwa kuwa atakunja kona na kutumia sehem ya upande uliopo, nafas kama haitosh bas rudi nyuma au egesha pemben zaid nje ya barabara, usibishane nae be fair
N:B
Changamoto ipo kweny atachment hasa kweny muendelezo wa uzi haikunali, attachment hiyo hiyo ukiweka kweny uz mpya inakubali, that y inalazim kuanzisha uzi mpya (mods mtaucombine)
Uzi wa mwanzo/uliotangulia
Uzi Maalum: Madereva wa Magari na wanaoingia kwenye Udereva huo - JamiiForums