Gossip: HK aliwahi kusema Filikunjombe ni 'mtoto wa mama Anne Makinda', alimaanisha nini?

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,247
2,000
Namnukuu HK:

"Kwanza, niseme hapa wazi kwamba, ni mwendawazimu tu ama mtu asiyeelewa mahusiano ya Mhe. Deo Filikunjombe (Mb.) na Mhe. Spika Anne Makinda (Mb.) ama na Mhe. Kangi Lugora (Mb.), atakayepata tabu kuelewa kwa nini watu hawa wamenishambulia kwenye magazeti na mitandao ya kijamii. Deo Filikunjombe ni 'mtoto wa mama' Anne Makinda!"

Mwisho wa kunukuu.

Hapo alikuwa akijitetea kuhusu hoja fulani hivi wakati huo. Unaweza kusoma zaidi > Majibu yangu kwa Filikunjombe na Kangi Lugora - JamiiForums

Concern yangu ni hapo kwa Deo (Mungu amrehemu) kuitwa mtoto wa mama Makinda.. Ilikuwa na maana gani? Naamini mtu akisema jambo kipindi ana hasira, jambo hilo huwa ni la kweli kwa asilimia nyingi.

Literally, kuwa mtoto wa mama sio kashfa, lakini hapo HK alijaribu kusema nini? Kwamba; kulikuwa na uhusiano wa siri baina ya Mama na Mwana au kitu gani? Mama Makinda ni mama mlezi wa wana?
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
43,287

Kwani Kigwa ni mtoto wa mama nani kule CCM?!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom