Uhalifu na Dhana ya "Wasiojulikana"

Saguda47

JF-Expert Member
May 1, 2016
10,771
18,636
Wapendwa hamjambo?

Naomba tuangalie hii "jamii" ijulikanayo kama "WASIOJULIKANA"

Kabla ya kwenda mbali tujiulize maswali yafuatayo:-

1. Wasiojulikana ni akina nani?
2.Wanafanya hayo wayafanyayo kwa masilahi ya nani?
3. Nani kiongozi wa wasiojulikana?
4.Je, ni kweli hawajulikani?

Maswali hapo juu yamebaki mafumbo makubwa japo ni maswali rahisi kwani jamii nzima iko kwenye taharuki kubwa baada ya hivi karibuni kuibuka matukio yanayotekelezwa na hao " wasiojulikana".

Katika maana ya haraka, watu Wasiojulikana ni watu ambao jamii nzima haiwatambui au haina taarifa yoyote kuhusu wanakoishi, wanakula wapi, wanapumzika wapi, wanaurafiki na nani n.k.
Kwa mantiki hiyo jamii imebaki katika fumbo kuu mno kuhusu hii dhana ya "wasiojulikana".

Bahati mbaya sana imefika wakati baadhi yetu tumeanza kuzituhumu baadhi ya taasisi na idara zetu za kiulinzi kuwa huenda ndiyo " Wasiojulikana"
Idara zinazohisiwa na wachache wetu ni:-
(a) Idara ya usalama wa Taifa (TISS)
(b) Jeshi la polisi Tanzania (PT)

Taasisi tajwa hapo juu ni moja ya vyombo mhimu sana katika ulinzi wa taifa letu, Pengine kwa kutojua sawia majukumu ya vyombo hivi ndio sababu baadhi yetu tumekaririwa tukisema hadharani wasiojulikana wanatokana na taasisi tajwa hapo juu.
Yafuatayo ni baadhi tu ya matukio yaliyohisiwa kutekelezwa na hawa watu wasiojulikana:-

1.Kutekwa na kuteswa kwa dr. Ulimboka.
2. kupotea kwa Ben Saanane.
3.Jaribio la kumuua Tundu A. Lissu
4.Kutekwa kwa msanii Roma mkatoliki.
5.Kutekwa kwa Mo Dewji
6. Kuchomwa kwa nyaraka za mawakili kule Dar es salaam.
7. kupotea kwa Azory n.k

Wanaovihusisha vyombo ama taasisi hizi za kiulinzi wanasahau matukio yafuatayo:-
1. Matukio ya mauaji huko kibiti
Takribani raia na polisi wapatao 40 waliuliwa huko Kibiti na watu ambao walikuwa hawajulikani,

2. Mauaji ya Amboni- Tanga
3. Uhalifu na uporaji katika maeneo tofauti ya nchi yetu,

Licha ya mengi yanayotokea, jamii inapaswa kujua kuwa, wasiojukana ni coverbed tu ya magenge ya kihuni na kihalifu yenye lengo la kuleta taharuki katika jamii ya Kitanzania na kuvichafua vyombo vyetu hasa TISS.

Utekaji wa raia na mauaji holela ni kiashiria kikuu cha upotevu wa amani katika taifa lolote lile duniani. Je, tumefikia huko hata sisi?

La hasha! imani yetu iko katika vyombo vyetu vyote vya ulinzi na usalama, ambavyo kikatiba ndio "Coercive instruments" of our state. Jamii inapaswa kufahamu kuwa, Ukatili ( sadism) wowote unaofanywa na mtu, taasisi au kundi fulani ni hatia kama hatia zingine za kijinai bila kuangalia mtu huyo katokea taasisi gani au kundi gani la kijamii, hii itaondoa uoga usithibitika ( fear of unknown) baina ya wanajamii na kuondoa dhana kuwa wasiojulikana ni taasisi imara inayopewa nguvu na baraka kutoka "JUU".

Wahalifu hupata nguvu wanapotenda tukio na kuiacha jamii ikifarakana kwa kuishutumu serikali kwani huendelea kufanya mambo yao undercover ambapo ni ngumu kufahamu nani ndio mhalifu.

Tuipende Nchi yetu, Tusikubali kukata tamaa kwa kuamini mambo yasiyo na uthibitisho wowote wa kisheria.
Tuibue uhalifu popote ili kuzisaidia taasisi zetu za kiulinzi kutekeleza majukumu yake kwa ufasaha.

Mjadala uko wazi.
 
Lakini ujue kabla ya tukio lolote ujue inapita hotuba ikisisitiza jambo. Huna haja ya Mwalimu kukuuliza 1 + 1 = 2 Baada ya hotuba kupita matukio yalikuwa yakifuata so for mathematicians 2x+5=? inabidi ujijibu
 
Wasiojulikana wataendelea kutojulikana. . . .hao wanaotajwa ni speculations ambazo sio rahisi kujustify ndio maana vyombo hivo vya Ulinza na Usalama vyenyewe vinaendelea na shughuli zao kama kawaida, havinaga muda wa kujitetea. Wasiojulikana wakikamatwa ndio watakapojulikana hapo.
 
Mkuu usi base kwenye scenario moja tu ya hayo matukio, inatubidi tuwe na logical correlations kuhusiana na lengo au mlengwa wa tukio husika ili kuondoa biased mindset dhidi ya hawa ma-bandit wasiojulikana.

mfano kutekwa kwa Mo kulikuwa na ulazima gani kama tukidhani kuwa system ndiyo iliyohusika?
 
Mkuu acha kuzunguka basi!
 
Ndio maana inakuwa vigumu kutofautisha bandits na state based agents, any injustifiable case is really a rumour from fear of unknown!

Hata leo baina yetu tukiambiwa kutoa ushahidi ama kuishitaki serikali kwa kuwatumia "wasiojulikana" naamini hakuna mwenye uwezo wa kufanya hivyo coz hao ni wahalifu, na serikali haisimamii uhalifu bali hutokomeza.
 
Tension iko sana baada ya matamko kiasi kwamba sinema nyingine majibu yanaonekana wazi. E.g ile ya mo
 
Ndio maana inakuwa vigumu kutofautisha bandits na state based agents, any injustifiable case is really a rumour from fear of unknown!

Hata leo baina yetu tukiambiwa kutoa ushahidi ama kuishitaki serikali kwa kuwatumia "wasiojulikana" naamini hakuna mwenye uwezo wa kufanya hivyo coz hao ni wahalifu, na serikali haisimamii uhalifu bali hutokomeza.
Sahihi kabisa. . . kwa serikali inaweza ikawa ni 'rogue operation' ambayo haitambuliki au kupewa kibali rasmi na wakuu lakini kwa asilimia kubwa sana wasiojulikana ni kundi la kihalifu ambalo linavunja sheria na hivyo kuwa adui wa serikali.
 
Wapendwa hamjambo?

Naomba tuangalie hii "jamii" ijulikanayo kama "WASIOJULIKANA"

Kabla ya kwenda mbali tujiulize maswali yafuatayo:-

1. Wasiojulikana ni akina nani?
2.Wanafanya hayo wayafanyayo kwa masilahi ya nani?
3. Nani kiongozi wa wasiojulikana?
4.Je, ni kweli hawajulikani?

Maswali hapo juu yamebaki mafumbo makubwa japo ni maswali rahisi kwani jamii nzima iko kwenye taharuki kubwa baada ya hivi karibuni kuibuka matukio yanayotekelezwa na hao " wasiojulikana".

Katika maana ya haraka, watu Wasiojulikana ni watu ambao jamii nzima haiwatambui au haina taarifa yoyote kuhusu wanakoishi, wanakula wapi, wanapumzika wapi, wanaurafiki na nani n.k.
Kwa mantiki hiyo jamii imebaki katika fumbo kuu mno kuhusu hii dhana ya "wasiojulikana".

Bahati mbaya sana imefika wakati baadhi yetu tumeanza kuzituhumu baadhi ya taasisi na idara zetu za kiulinzi kuwa huenda ndiyo " Wasiojulikana"
Idara zinazohisiwa na wachache wetu ni:-
(a) Idara ya usalama wa Taifa (TISS)
(b) Jeshi la polisi Tanzania (PT)

Taasisi tajwa hapo juu ni moja ya vyombo mhimu sana katika ulinzi wa taifa letu, Pengine kwa kutojua sawia majukumu ya vyombo hivi ndio sababu baadhi yetu tumekaririwa tukisema hadharani wasiojulikana wanatokana na taasisi tajwa hapo juu.
Yafuatayo ni baadhi tu ya matukio yaliyohisiwa kutekelezwa na hawa watu wasiojulikana:-

1.Kutekwa na kuteswa kwa dr. Ulimboka.
2. kupotea kwa Ben Saanane.
3.Jaribio la kumuua Tundu A. Lissu
4.Kutekwa kwa msanii Roma mkatoliki.
5.Kutekwa kwa Mo Dewji
6. Kuchomwa kwa nyaraka za mawakili kule Dar es salaam.
7. kupotea kwa Azory n.k

Wanaovihusisha vyombo ama taasisi hizi za kiulinzi wanasahau matukio yafuatayo:-
1. Matukio ya mauaji huko kibiti
Takribani raia na polisi wapatao 40 waliuliwa huko Kibiti na watu ambao walikuwa hawajulikani,

2. Mauaji ya Amboni- Tanga
3. Uhalifu na uporaji katika maeneo tofauti ya nchi yetu,

Licha ya mengi yanayotokea, jamii inapaswa kujua kuwa, wasiojukana ni coverbed tu ya magenge ya kihuni na kihalifu yenye lengo la kuleta taharuki katika jamii ya Kitanzania na kuvichafua vyombo vyetu hasa TISS.

Utekaji wa raia na mauaji holela ni kiashiria kikuu cha upotevu wa amani katika taifa lolote lile duniani. Je, tumefikia huko hata sisi?

La hasha! imani yetu iko katika vyombo vyetu vyote vya ulinzi na usalama, ambavyo kikatiba ndio "Coercive instruments" of our state. Jamii inapaswa kufahamu kuwa, Ukatili ( sadism) wowote unaofanywa na mtu, taasisi au kundi fulani ni hatia kama hatia zingine za kijinai bila kuangalia mtu huyo katokea taasisi gani au kundi gani la kijamii, hii itaondoa uoga usithibitika ( fear of unknown) baina ya wanajamii na kuondoa dhana kuwa wasiojulikana ni taasisi imara inayopewa nguvu na baraka kutoka "JUU".

Wahalifu hupata nguvu wanapotenda tukio na kuiacha jamii ikifarakana kwa kuishutumu serikali kwani huendelea kufanya mambo yao undercover ambapo ni ngumu kufahamu nani ndio mhalifu.

Tuipende Nchi yetu, Tusikubali kukata tamaa kwa kuamini mambo yasiyo na uthibitisho wowote wa kisheria.
Tuibue uhalifu popote ili kuzisaidia taasisi zetu za kiulinzi kutekeleza majukumu yake kwa ufasaha.

Mjadala uko wazi.
Saguda umefanya utafiti wowote kutafuta majibu ya maswali yao ?, Sio kweli kwamba wananchi walio wachache eti ndio wanaotuhumu Uhusika wa vyombo vyetu vya ulinzi katika matukio ya utekaji na mauaji ya raia wasio na hatia hapa nchini, Ni kwamba asilimia zaidi ya 70 wanaamini hivyo na ndivyo ilivyo, waambie waitishe kura ya maoni ili tujionee, Doctor Ulimboka aliteka na maofisa wa usalama na bahati nzuri sana akiwa pale hospitali kuna kiongozi mmoja wa Polisi alienda kumuona kama amekufa au la, Ulimboka akazinduka na kumwambia arudishe simu yake iliyokuwa imepotea wakati alipotekwa, najaribu kupindisha ukweli na mchana huu
 
Naomba nikutolee mfano mmoja kati ya mingi iliyopo, Kule Zanzibar liliibuka kundi la wahalifu wakijulikana kama Mazombie, SMZ ikatuambia kwamba wale ni genge la wahuni, na kwa bahati mbaya walikuwa wakiwavamia na kuwadhuru wapinzani wa serikali hasa wafuasi wa CUF, siku moja wahalifu hao walionekana wakiwa mitaani wanazunguka na gari la Jeshi la Polisi !!, unawezaje kutuambia serikali haiwajui ? na eti tuipende serikali yetu !!, mtaipenda nyinyi mnaonufaika na mambo yake
 
Wapendwa hamjambo?

Naomba tuangalie hii "jamii" ijulikanayo kama "WASIOJULIKANA"

Kabla ya kwenda mbali tujiulize maswali yafuatayo:-

1. Wasiojulikana ni akina nani?
2.Wanafanya hayo wayafanyayo kwa masilahi ya nani?
3. Nani kiongozi wa wasiojulikana?
4.Je, ni kweli hawajulikani?

Maswali hapo juu yamebaki mafumbo makubwa japo ni maswali rahisi kwani jamii nzima iko kwenye taharuki kubwa baada ya hivi karibuni kuibuka matukio yanayotekelezwa na hao " wasiojulikana".

Katika maana ya haraka, watu Wasiojulikana ni watu ambao jamii nzima haiwatambui au haina taarifa yoyote kuhusu wanakoishi, wanakula wapi, wanapumzika wapi, wanaurafiki na nani n.k.
Kwa mantiki hiyo jamii imebaki katika fumbo kuu mno kuhusu hii dhana ya "wasiojulikana".

Bahati mbaya sana imefika wakati baadhi yetu tumeanza kuzituhumu baadhi ya taasisi na idara zetu za kiulinzi kuwa huenda ndiyo " Wasiojulikana"
Idara zinazohisiwa na wachache wetu ni:-
(a) Idara ya usalama wa Taifa (TISS)
(b) Jeshi la polisi Tanzania (PT)

Taasisi tajwa hapo juu ni moja ya vyombo mhimu sana katika ulinzi wa taifa letu, Pengine kwa kutojua sawia majukumu ya vyombo hivi ndio sababu baadhi yetu tumekaririwa tukisema hadharani wasiojulikana wanatokana na taasisi tajwa hapo juu.
Yafuatayo ni baadhi tu ya matukio yaliyohisiwa kutekelezwa na hawa watu wasiojulikana:-

1.Kutekwa na kuteswa kwa dr. Ulimboka.
2. kupotea kwa Ben Saanane.
3.Jaribio la kumuua Tundu A. Lissu
4.Kutekwa kwa msanii Roma mkatoliki.
5.Kutekwa kwa Mo Dewji
6. Kuchomwa kwa nyaraka za mawakili kule Dar es salaam.
7. kupotea kwa Azory n.k

Wanaovihusisha vyombo ama taasisi hizi za kiulinzi wanasahau matukio yafuatayo:-
1. Matukio ya mauaji huko kibiti
Takribani raia na polisi wapatao 40 waliuliwa huko Kibiti na watu ambao walikuwa hawajulikani,

2. Mauaji ya Amboni- Tanga
3. Uhalifu na uporaji katika maeneo tofauti ya nchi yetu,

Licha ya mengi yanayotokea, jamii inapaswa kujua kuwa, wasiojukana ni coverbed tu ya magenge ya kihuni na kihalifu yenye lengo la kuleta taharuki katika jamii ya Kitanzania na kuvichafua vyombo vyetu hasa TISS.

Utekaji wa raia na mauaji holela ni kiashiria kikuu cha upotevu wa amani katika taifa lolote lile duniani. Je, tumefikia huko hata sisi?

La hasha! imani yetu iko katika vyombo vyetu vyote vya ulinzi na usalama, ambavyo kikatiba ndio "Coercive instruments" of our state. Jamii inapaswa kufahamu kuwa, Ukatili ( sadism) wowote unaofanywa na mtu, taasisi au kundi fulani ni hatia kama hatia zingine za kijinai bila kuangalia mtu huyo katokea taasisi gani au kundi gani la kijamii, hii itaondoa uoga usithibitika ( fear of unknown) baina ya wanajamii na kuondoa dhana kuwa wasiojulikana ni taasisi imara inayopewa nguvu na baraka kutoka "JUU".

Wahalifu hupata nguvu wanapotenda tukio na kuiacha jamii ikifarakana kwa kuishutumu serikali kwani huendelea kufanya mambo yao undercover ambapo ni ngumu kufahamu nani ndio mhalifu.

Tuipende Nchi yetu, Tusikubali kukata tamaa kwa kuamini mambo yasiyo na uthibitisho wowote wa kisheria.
Tuibue uhalifu popote ili kuzisaidia taasisi zetu za kiulinzi kutekeleza majukumu yake kwa ufasaha.

Mjadala uko wazi.

Sawa ni magenge ya wahalifu. Je, hizi taasisi zimefanya nini cha maana kuionyesha au kuiaminisha jamii kuwa ni magenge na sio taasisi zinazohisiwa?

Kuna ofisa mkubwa wa polisi aliuawa mwanza, haikupita wiki wahalifu walipatikana.

Iweje Lissu apigwe risasi kwenye eneo lenye ulinzi wa askari na camera ila hadi leo taasisi hizo zimekuwa bubu?

Genge la wahalifu acheni kutuhadaa mitandaoni. Tuheshimu misingi ya vyombo vya usalama, tuviache vijisimamie ili kutekeleza majukumu yake kwa ufasaha. Siasa inatuhadaa na kutugawa
 
Wasiojulikana wantumwa na jeshi la polisi na usalama wa taifa,
 
Sawa ni magenge ya wahalifu. Je, hizi taasisi zimefanya nini cha maana kuionyesha au kuiaminisha jamii kuwa ni magenge na sio taasisi zinazohisiwa?

Kuna ofisa mkubwa wa polisi aliuawa mwanza, haikupita wiki wahalifu walipatikana.

Iweje Lissu apigwe risasi kwenye eneo lenye ulinzi wa askari na camera ila hadi leo taasisi hizo zimekuwa bubu?

Genge la wahalifu acheni kutuhadaa mitandaoni. Tuheshimu misingi ya vyombo vya usalama, tuviache vijisimamie ili kutekeleza majukumu yake kwa ufasaha. Siasa inatuhadaa na kutugawa
Viongozi wa Upinzani waliomba waletwe Polisi wa Kimataifa (Interpol) kuchunguza shambulio la Lissu Jeshi letu la Polisi wakakataa na kudai wanao uwezo wa kufanya upelelezi, na kuwataka wananchi wawe na imani nao, leo mwaka mzima umepita hawajakamata hata mtu mmoja, wao ndio wahusika hivo hawawezi kujikamata
 
Mkuu usi base kwenye scenario moja tu ya hayo matukio, inatubidi tuwe na logical correlations kuhusiana na lengo au mlengwa wa tukio husika ili kuondoa biased mindset dhidi ya hawa ma-bandit wasiojulikana.

mfano kutekwa kwa Mo kulikuwa na ulazima gani kama tukidhani kuwa system ndiyo iliyohusika?
May be Koro shaw
 
Wapendwa hamjambo?

Naomba tuangalie hii "jamii" ijulikanayo kama "WASIOJULIKANA"

Kabla ya kwenda mbali tujiulize maswali yafuatayo:-

1. Wasiojulikana ni akina nani?
2.Wanafanya hayo wayafanyayo kwa masilahi ya nani?
3. Nani kiongozi wa wasiojulikana?
4.Je, ni kweli hawajulikani?

Maswali hapo juu yamebaki mafumbo makubwa japo ni maswali rahisi kwani jamii nzima iko kwenye taharuki kubwa baada ya hivi karibuni kuibuka matukio yanayotekelezwa na hao " wasiojulikana".

Katika maana ya haraka, watu Wasiojulikana ni watu ambao jamii nzima haiwatambui au haina taarifa yoyote kuhusu wanakoishi, wanakula wapi, wanapumzika wapi, wanaurafiki na nani n.k.
Kwa mantiki hiyo jamii imebaki katika fumbo kuu mno kuhusu hii dhana ya "wasiojulikana".

Bahati mbaya sana imefika wakati baadhi yetu tumeanza kuzituhumu baadhi ya taasisi na idara zetu za kiulinzi kuwa huenda ndiyo " Wasiojulikana"
Idara zinazohisiwa na wachache wetu ni:-
(a) Idara ya usalama wa Taifa (TISS)
(b) Jeshi la polisi Tanzania (PT)

Taasisi tajwa hapo juu ni moja ya vyombo mhimu sana katika ulinzi wa taifa letu, Pengine kwa kutojua sawia majukumu ya vyombo hivi ndio sababu baadhi yetu tumekaririwa tukisema hadharani wasiojulikana wanatokana na taasisi tajwa hapo juu.
Yafuatayo ni baadhi tu ya matukio yaliyohisiwa kutekelezwa na hawa watu wasiojulikana:-

1.Kutekwa na kuteswa kwa dr. Ulimboka.
2. kupotea kwa Ben Saanane.
3.Jaribio la kumuua Tundu A. Lissu
4.Kutekwa kwa msanii Roma mkatoliki.
5.Kutekwa kwa Mo Dewji
6. Kuchomwa kwa nyaraka za mawakili kule Dar es salaam.
7. kupotea kwa Azory n.k

Wanaovihusisha vyombo ama taasisi hizi za kiulinzi wanasahau matukio yafuatayo:-
1. Matukio ya mauaji huko kibiti
Takribani raia na polisi wapatao 40 waliuliwa huko Kibiti na watu ambao walikuwa hawajulikani,

2. Mauaji ya Amboni- Tanga
3. Uhalifu na uporaji katika maeneo tofauti ya nchi yetu,

Licha ya mengi yanayotokea, jamii inapaswa kujua kuwa, wasiojukana ni coverbed tu ya magenge ya kihuni na kihalifu yenye lengo la kuleta taharuki katika jamii ya Kitanzania na kuvichafua vyombo vyetu hasa TISS.

Utekaji wa raia na mauaji holela ni kiashiria kikuu cha upotevu wa amani katika taifa lolote lile duniani. Je, tumefikia huko hata sisi?

La hasha! imani yetu iko katika vyombo vyetu vyote vya ulinzi na usalama, ambavyo kikatiba ndio "Coercive instruments" of our state. Jamii inapaswa kufahamu kuwa, Ukatili ( sadism) wowote unaofanywa na mtu, taasisi au kundi fulani ni hatia kama hatia zingine za kijinai bila kuangalia mtu huyo katokea taasisi gani au kundi gani la kijamii, hii itaondoa uoga usithibitika ( fear of unknown) baina ya wanajamii na kuondoa dhana kuwa wasiojulikana ni taasisi imara inayopewa nguvu na baraka kutoka "JUU".

Wahalifu hupata nguvu wanapotenda tukio na kuiacha jamii ikifarakana kwa kuishutumu serikali kwani huendelea kufanya mambo yao undercover ambapo ni ngumu kufahamu nani ndio mhalifu.

Tuipende Nchi yetu, Tusikubali kukata tamaa kwa kuamini mambo yasiyo na uthibitisho wowote wa kisheria.
Tuibue uhalifu popote ili kuzisaidia taasisi zetu za kiulinzi kutekeleza majukumu yake kwa ufasaha.

Mjadala uko wazi.
Baada ya kubisha-bisha sana
Baada ya kukana-kana sana

HATIMAYE
Wasiojulikana walijulikana kule Mara kwa Zakaria, tena walijitambulisha wenyewe.

Over
 
Back
Top Bottom