Malumbano ya hoja ITV: Kuongezeka kwa rushwa ya ngonoktk sekta mbalimbali, je jamii inawajibika ipasavyo?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,471
Mada hii ndiyo inayozungumziwa.

Vyuo vikuu vimelaumiwa sana, huku Abdul Nondo akisema yaliyojiri SAUT na UDSM vimetokana na yeye kumpigia simu professor Joyce Ndalichako aingilie kati kunusuru mabinti vyuoni.
 
Kweli haya mambo ya ngono ni kero mno, yadhibitiwe imagine chuoni ukimchumia lecturer na Kuwa busy lazima akubane sehemu tu
 
Takukuru pia waziangalie hizi teuzi teuzi kama zina viashiria vya rushwa ya ngono.
 
Na Ili upate kiukweli lazima ulalwe tu, yani wanawake tuna shida. Kitu hata ka ni haki yako lazima wakulale hyo sio haki kabisa.
Sorry to ask this,
Hivi huwa kuna mwendelezo wa kulalwa baada ya ile siku ya kwanza au hii huwa ni siku moja tu kila kitu kinaishia hapo?
 
Ila hizi ishu waziangalie upande wote,wanawake wengi nowdays wanajilengesha maksudi kabisaaa,tho sitetei hii corruption but huo ndo ukweli
 
Back
Top Bottom