Aliyeandika Script Ya Jamai Raja Atutake Radhi

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,557
Kwa wafuatiliaji wa tamthiriya pendwa azam tv
Hii Jamai Raja ilianzaga vizuri sana na ikatupa na hamasa Ya kuifuatilia lakini
îlipofikia île siku alipouawa Rajvee kwa Risasi iliyopigwa na mama yake Roshn
Hapo ndipo kosa lilipofanyika na ndiyo ikawa mwisho wa kueleweka mchezo huu
Kwa ilivyo sasa ki ukweli haueleweki, Sedat aliyekua boss ktk kampuni Ya Baba yake siku za nyuma, akiheshimika sasa amekua kama kachanganyikiwa kazi hafanyi anashinda na wakina mama nyumbani !!
Mwelekeo ni upi waungwana ?
 
Hahaaaaaaaaaa kweli mkuu
 
Hakuna tamthilia pale ujinga tu wamenikera sana .....huko mbele ni kubayaa zaidi nashauri usiendelee kuangalia
 
Mnafuatilia wahindi wa Nini hao visa vyao vingi waongo waongo sana
 
Ni kawaida yao wahindi.. Kuna sehemu lazima wataharibu tu.. Sijui wanachokaga?
 
Nimecheki plot nzima huko mbele Roshin na Sidhat watakufa halafu watoto wao wataendeleza.
Kiufupi inaboa na itazidi kuboa mimi niliacha kutazama baada ya kupitia plot yake plot yake yote.
Tafuta chuma inaitwa Porus.
 
Kwa wafuatiliaji wa tamthiriya pendwa azam tv
Hii Jamai Raja ilianzaga vizuri sana na ikatupa na hamasa Ya kuifuatilia lakini
îlipofikia île siku alipouawa Rajvee kwa Risasi iliyopigwa na mama yake Roshn
Hapo ndipo kosa lilipofanyika na ndiyo ikawa mwisho wa kueleweka mchezo huu
Kwa ilivyo sasa ki ukweli haueleweki, Sedat aliyekua boss ktk kampuni Ya Baba yake siku za nyuma, akiheshimika sasa amekua kama kachanganyikiwa kazi hafanyi anashinda na wakina mama nyumbani !!
Mwelekeo ni upi waungwana ?
Wanaume wa dar banah
 
Japo kula kitu roho inapenda ila tamthilia za kihindi ni kifilipino uwa naona ziko kike kike zaidi.
Kitu into the badlands na game of thrones mama yangu weka mbali na watoto halafu pale kati unamalizia na Power
 
Back
Top Bottom