Matapeli hawana huruma kabisa,Ubungo-Kimara Elf 35?

Matapeli hawana huruma kabisa,Ubungo-Kimara Elf 35?

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
25,307
Reaction score
40,941
IMG-20181213-WA0013.jpg
 
Mh...hakusoma risiti imekatwa kwa shs ngap???
 
Huyo boya ,yaan mm hata km sijawah fika sehem siwez kuibiwa kishamba hasa kwa hapa tiz labda mambele huko nchi za watu
 
Mh...hakusoma risiti imekatwa kwa shs ngap???

Jamaa watakuwa walikata na wao ticket kumsindikiza mpaka akapanda gari.

Unaambiwa tu subiri hapo, anapenda pale dirishani anakata yako na yake mnaingia wote mle kituoni, gari inakuja anakupandisha yeye anabaki zake. Hapo ndo ushaliwa.

Dakika 5 unaambiwa mwisho wa gari, inauma aisee.
 
Back
Top Bottom